Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gaza yaahidiwa mamilioni

Wafadhili mjini Cairo wameahidi kutoa dola za kimarekani bilioni tano nukta nne kwa Gaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Sengerema yaahidiwa Mji

MJI wa Sengerema umeahidiwa kutoka mamlaka ya mji mdogo kuwa halmashauri ya mji iwapo Chama Cha Mapinduzi kitaingia madarakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ivorycoast yaahidiwa zawadi kedekede

Timu ya taifa ya Ivorycoast imeahidiwa kupewa zawadi kedekede baada ya kunyakua Kombe la Mataifa Afrika

 

11 years ago

Mwananchi

Nigeria yaahidiwa donge nono CHAN

Wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria wameahidiwa kiasi cha dola 100,000 kama wakiifunga Morocco leo katika mechi ya nusu fainali ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

 

10 years ago

BBCSwahili

Gaza yajadiliwa Cairo

Ujumbe wa Palestina katika mazungumzo ya amani, umesema usitishaji mapigano Gaza unaweza kuendelea kwa siku tano zaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto watekwa Gaza

Wapiganaji wa kundi la Hamas wamezuia kundi la watoto huko Gaza wengi wao wakiwa hawana wazazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Amani ya Gaza ni muhimu

Netanyahu hatapumzika mpaka .hapo amani ya ukanda wa Gaza itakapopatikana.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN - Gaza inatishiwa kuangamizwa

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Ki Moon, ameonya kuwa Gaza inatishiwa kuangamizwa na mashambulio yanayowalenga raia

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya Gaza yasusiwa

Israil na Marekani hazitohudhuria mazungumzo ya kujadili usitishwaji wa mapigano Gaza na hakuna matumaini ya suluhu

 

10 years ago

BBCSwahili

Gaza:Mazungumzo yaendelea

Wawakilishi wa Israel na Palestina wanatarajiwa kukutana katika mji mkuu wa Cairo nchini Misri siku ya jumapili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani