Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUHESO FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KAHAMA


Shirika la Huheso Foundation lenye makao yake Malunga Wilayani Kahama mkoani Shinyanga limetoa msaada wa vifaa vya kujikinga na Maambukizi ya virusi vya Corona vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni nne katika halmashauri ya Mji wa Kahama.
Akikabidhi vifaa hivyo leo Jumatatu Juni 1,2020 kwa Mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha, Mkurugenzi wa shirika la Huheso Foundation na Huheso Fm Radio Bw. Juma Mwesigwa amesema vifaa hivyo ni kwa ajili ya kuunga mkono juhudi zinazofanywa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ODO UMMY FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA TAASISI ZA DINI JIJINI TANGA


MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kulia akizungumza wakati akishukuru Taasisi ya Odo Ummy Foundation kwa msaada ndoo 120 na sabuni 60 ikiwemo vifaa vyake vya
kuwekea ndoo hizo ili kuwawezesha kuzitumia katika kuhakikisha wanajikinga na
maambukizi hayo ambayo kwa sasa yamekuwa yakilitikisha dunia katikati
ni Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga
Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga kulia akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias...

 

9 years ago

Michuzi

Vodacom Foundation yatoa msaada wa vifaa vya elimu Kisarawe

Wanafunzi wa shule ya msingi Chazinge A iliyopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani wamenufaika kwa kupatiwa msaada wa vifaa vya elimu kutoka taasisi ya kusaidia masuala ya jamii ya Vodacom Foundation.Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati (Mathematics set)pamoja na kalamu.
Akiongea wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa hivyo kwa wanafunzi jana,Kaimu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia...

 

5 years ago

CCM Blog

BARRICK BUZWAGI YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 48

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiishukuru Kampuni ya Barrick kwa kuiunga mkono serikali katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Afya na Usalama mgodi wa Barrick Buzwagi, Dkt. Antoinette George.(PICHA NA MALUNDE-MALUNDE 1 BLOG)
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia Mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama imetoa msaada vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWIA MIKONO KUJIKINGA NA CORONA MKOANI SINGIDA

Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wakimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hapo.

 

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI VYA KUJIKINGA NA JANGA LA CORONA MKOANI MTWARA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbalimbali kwa ajili ya kujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.

 

5 years ago

Michuzi

UWT DODOMA MJINI YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KATIKA KITUO CHA WAGONJWA WA UKOMA

 Mmoja wa Walemavu wa Ugonjwa wa Ukoma ambao wanaishi katika kituo cha Samaria jijini Dodoma akinawa kwa maji yanayotiririka baada ya Umoja wa Wanawake Tanzania wilaya ya Dodoma Mjini kupitia Katibu wake, Diana Madukwa (mwenye shati la kijani) kukabidhi vifaa vya kujikinga na Corona kwenye kituo hiko. Katibu wa UWT Wilaya ya Dodoma Mjini, Diana Madukwa akionesha baadhi ya vifaa vya kujikinga na Corona na vyakula ambavyo UWT imepeleka kama msaada kwenye kituo cha Samaria wanapoishi watu wenye...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wamekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hamo.

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga


 Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi...

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI YA ANDALUSIA NA GROUP YA HAPPY HANDS YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA MADAKTARI NA WAUGUZI VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI SABA

 Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sofia Mjema vifaa mbalimbali vikiwemo vya kujikinga na CORONA kwa Madaktari na Wauguzi vyenye thamani Sh. Milioni Saba
 
   Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay (kushoto)  akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia mjema wenye dhamani ya Sh. Milioni Saba uliotole kwa niaba ya Taasisi hiyo vikiwemo vifaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani