Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Madiba na alama ya batiki Afrika

MTU huweza kujipambanua katika jamii kwa njia mbalimbali, iwe kwa tabia ya asili kama ukali, upole au upendo, pia kwa upande mwingine, mwenyewe unaweza kujipambanua kwa aina ya mavazi, staili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA BIG BROTHER HOTSHOTS ULIVYOKUWA KWA MZEE MADIBA

Msanii wa Tanzania, Diamond (katikati) akiwa na madansa wake wakionyesha manjonjo yao wakati akifanya shoo kwenye uzinduzi wa Big Brother HotShots jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, Jumapili iliyopita. Diamond aliteka umati uliojitokeza kwenye uzinduzi wa Big Brother HotShots kwa kutoa shoo nzuri ambapo aliimba wimbo wa My Number One.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba

MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...

 

9 years ago

GPL

KIPIMO CHAONESHA MAGUFULI ALAMA 6, LOWASSA ALAMA 9

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo vinaonesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ana alama 6 na wa Ukawa, Edward Lowassa ana alama 9 katika mambo mbalimbali ya kikazi, Uwazi linachambua. Uwazi lilianza kwa kuchimba kwenye upande wa mambo yaliyozua maswali mengi ambapo kipimo kinaonesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakazi Dar wakusanywa kujifunza batiki, keki

Wananchi jijini Dar es Salaam wanaotaka kujifunza utengenezaji bidhaa kama nguo za batiki, keki, sabuni za kila aina, watakuwa na fursa ya kujifunza kazi hizo kuanzia Juni 24 katika mafunzo yaliyofadhiliwa na Benki ya Biashara ya Akiba (ACB).

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika yaomboleza Mzee Ojwang

Risala za rambirambi zamiminika kuomboleza kifo cha muigizaji nyota wa vipindi vya kuchekesha 'Mzee Ojwang'

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AZINDUA MRADI WA MAJI MUYUYU NA KIKUNDI CHA UTENGENEZAJI BATIKI KIBITI RUFIJI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama mmoja  wa Kijiji cha Muyuyu, katika Jimbo la Kibiti, alipozindua mradi wa maji katika Kijiji cha Muyuyu, wakati wa ziara yake  ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya  maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM mkoani Pwani. Katibu wa Ityikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika Kijiji cha Mchukwi ambapo Kinana alikwenda kuzindua kikundi cha Akina mama cha kutengeneza batiki.Kinana...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON MADELA‏


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Waterkloof Airforce Base ulioko Kusini mwa jiji la Pretoria alikowasili usiku wa kuamkia leo tayari kuhudhuria mazishi ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson R. Mandela.
Rais Kikwete akisalimiana na Mwambata wa Kijeshi katika Ubalozi wa Tanzania Afrika kusini katika uwanja wa… ...

 

11 years ago

Habarileo

Kwaheri Madiba

Mjane wa Rais wa kwanza Mwafrika nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel akimuaga mume wake. Mwili wa shujaa huyo wa dunia ulilazwa katika jengo la serikali la Union kutoa nafasi kwa wananchi kumuaga mpendwa wao. (Picha na AFP).MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.

Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.

Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...

 

11 years ago

Habarileo

Maajabu ya Madiba

KATIKA uhai wake mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Nelson Mandela, aliishangaza dunia alipotangaza msamaha kwa waliomtesa na akiwa marehemu, amekutanisha viongozi mahasimu wa kisiasa duniani katika uwanja mmoja wakimuaga. Hicho ndicho kilichomsukuma mshindi mwenzake wa Tuzo ya Nobel, Askofu Desmond Tutu, kusema Mandela alikuwa wa maajabu na alionesha maajabu akiwa hivi sasa ni marehemu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani