RENATUS MALULU NA IMERESIANA CHARLES WAMEREMETA
Bwana harusi Renatus Malulu akimvisha pete ya ndoa mkewe Imeresiana Charles wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center.
Wakiwa na nyuso za furaha bwana harusi Renatus Malulu na mkewe Imeresiana Charles wakiwa kwenye pozi la picha baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboEMMANUEL NA HAPPY WAMEREMETA
11 years ago
MichuziALVIN NA SUSAN WAMEREMETA
Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
10 years ago
VijimamboFEISAL NA CHERRYSE WAMEREMETA
11 years ago
Michuzi15 Jun
wadau zuberi na asha wameremeta
Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014
11 years ago
GPLAZIZ HASHIM, ZAINAB WAMEREMETA
11 years ago
GPLWANANDOA COSMAS NA ROSE WAMEREMETA
11 years ago
Michuzi
wadau sereki na zainab wameremeta

.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
ADAM MZEE NA LILIAN WAMEREMETA

Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa blog maarufu ya Kamerayangu na Lilian ni mtumishi wa NMB Makao Makuu.

10 years ago
VijimamboRAHIM NA ANASSA CHOMBA WAMEREMETA HOUSTON, TX