Waziri Mwakyembe aagiza maadili ya kitanzania yasimamiwe ipasavyo
![](https://1.bp.blogspot.com/-HGBN5_VXB54/XlzI_aHYsZI/AAAAAAALgVY/IG2HFwkLIWEtUOhfk7Vss2laEOV14In-ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Same
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Bodi ya Filamu pamoja na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wafanye kazi yao ya kisheria ya kulinda maadili ya jamii ya Kitanzania ili taifa liendelee kufuata misingi imarya utamaduni na sanaa iliyoasisiwa na viongozi wetu.
Dkt. Mwakyembe ametoa agizo hilo wakati wa mashindano ya Bonanza ya kuibua vipaji vya uimbaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lfASdeYLW4dh6rwIpda91DvGLHF7BNxQWIJFFMvSabwuSSzGOmqSBhQolOQCXr6DIc6-BYEBvv*AO6loXZmFf3*SoiUbBst9/philip_mangula.jpg?width=600)
MANGULA AWATAKA VIONGOZI WA MATAWI KUSIMAMIA IPASAVYO KANUNI ZA UCHAGUZI, UONGOZI NA MAADILI
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Waziri Mwakyembe azua maswali
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Waziri Mwakyembe: Sijamshambulia Edward Lowassa
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameibuka na kusema hajawahi kumshambulia kwenye mitandao Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhusu sakata la Richmond.
Kauli hiyo ya Dk. Mwakyembe imekuja siku chache baada ya kusambazwa kwa waraka unaodaiwa kuandikwa naye, ukimuhusisha na tuhuma za kumshambulia Lowassa, jambo ambalo amelifananisha kuwa ni sawa na siasa za kitoto.
Akizungumza jana katika kipindi cha Power Breakfast...
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Mwakyembe: Waziri mkuu hateuliwi kwa mtandao
Na Mwandishi Wetu, DODOMA
MBUNGE mteule wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM) amesema waziri mkuu wa Serikali ya awamu ya tano atatokana na uteuzi wa Rais Dk. John Magufuli na kuinidhishwa na Bunge na wala si taarifa zinazozagaa katika mitandao ya kijamii.
Dk. Mwakyembe ambaye, alikuwa Waziri wa Afrika Mashariki katika Serikali ya awamu ya nne chini ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameyasema hayo mjini hapa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, waliotaka kujua namna alivyopokea...
5 years ago
MichuziWaziri Mwakyembe ahimiza watanzania kuchangamkia fursa
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka
10 years ago
Habarileo07 Oct
Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Waziri ambana mkandarasi, aagiza asilipwe