Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


8 wadaiwa kuua mfululizo

WATU wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Tarime wakikabiliwa na kesi za mauaji ya watu tisa na unyang'anyi katika kata za Turwa , Kitare na Binagi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wadaiwa kuua raia

ASKARI sita wa Kituo Kikuu cha Polisi Lushoto, mkoani Tanga, wanatuhumiwa kumuua kwa risasi mkazi wa Kijiji cha Viti, Hamis Seif (25) na kumjeruhi mmoja, huku wakidai raia hao walikuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kujeruhi, kuua wanavijiji

Wakazi 11 wa vijiji viwili tofauti vya wilayani hapa, wamejeruhiwa na mmoja kufariki dunia kutokana na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kuwashambulia kwa silaha za jadi zikiwamo mapanga na visu.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wadaiwa kuua, wasusiwa marehemu

Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa baada ya baadhi ya askari wake wa Kituo cha Mortot Kamwanga kilichopo Longido kudaiwa kumuua mahabusu na wananchi kukataa kumzika na kuipeleka maiti hiyo nje ya kituo hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wadaiwa kuua, kujeruhi raia

Polisi wilayani Kaliua, inadaiwa kumuua mtu mmoja na kumjeruhi mwingine baada ya wananchi zaidi ya 200 kuvamia kituo kidogo cha polisi kwa lengo la kumtoa mtuhumiwa ili wajichukulie sheria mkononi.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari Magereza wadaiwa kuua mfungwa

Askari Magereza wanane, wamefikishwa mahakamani wilayani Mafia mkoani Pwani kwa tuhuma za mauaji ya mfungwa.

 

10 years ago

GPL

MZIMU WA KANUMBA WADAIWA KUUA WAWILI

mwandishi wetu
HII ni habari ya kutisha! Takriban miaka mitatu imekatika tangu kifo cha aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Steven Kanumba huku watu wawili wakifariki dunia kwa nyakati tofauti lakini nyuma ya pazia ya vifo vyao, mzimu wa Kanumba unatajwa kuhusika kutokana na watu hao kutaka kuishi mahali pa marehemu huyo, endelea kusoma Risasi Jumamosi. Aliyekuwa staa wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba. SOMA TUKIO HILI LA...

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari Sudan wadaiwa kuua na kubaka raia

Kikosi kimoja maalum cha serikali nchini Sudan kimeshutumiwa kwa kutekeleza maujai ya halaiki na ubakaji wa raia katika eneo la Darfur.

 

11 years ago

BBCSwahili

Man U kipigo mfululizo

Manchester United ilipata kipigo chake cha pili nyumbani katika muda wa siku nne baada ya kulazwa bao moja bila na New Castle

 

11 years ago

Mwananchi

Babu ambaka mfululizo mtoto wa miaka 12

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Mohamed Mgende (59) mlinzi na mkazi wa Msamvu Ndege Wengi kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Msamvu B.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani