5 years ago
MichuziHuduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi
Jonas Kamaleki, Bunda
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6Ap2_-SAeSg/Xt4uKsv2pwI/AAAAAAALtB4/gwkldbkIxsk-3hlfr17NeLSdC0FjB7hQgCLcBGAsYHQ/s72-c/38915-adam2bmalima2beyopah.jpg)
Malima aipongeza Halmashauri ya Bunda kwa hati safi
![](https://1.bp.blogspot.com/-6Ap2_-SAeSg/Xt4uKsv2pwI/AAAAAAALtB4/gwkldbkIxsk-3hlfr17NeLSdC0FjB7hQgCLcBGAsYHQ/s400/38915-adam2bmalima2beyopah.jpg)
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Mkuu wa Mkoa wa Mara ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017.
Akizungumza hivi karibuni wakati wa uwasilishaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Selikali kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019, Mkuu wa mkoa wa Mara, Adam Malima aliipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017,...
5 years ago
MichuziUBORESHWAJI KITUO CHA AFYA BUNDA MJINI IKIWEMO MAJENGO MAPYA NA VIFAA TIBA VYA KISASA
5 years ago
MichuziKAHAWA YAWAKOMBOA WANANCHI WA TARIME
Kahawa ni moja ya mazao ya kimkakati zao ambalo limebadili maisha ya wakazi wa Tarime, Mkoa wa Mara kwa kuwaongezea kipato hivyo kuwaletea maendeleo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tarime, Apoo Castro Tindwa akizungumza na maafisa wa Idara ya Habari (MAELEZO) katika mahojiano maalum amesema juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano za kufufua zao la kahawa zimewanufaisha wananchi wa Tarime.
“Zao la kahawa limeibuka upya kupitia Serikali ya Awamu ya Tano...
9 years ago
Habarileo04 Jan
Wazee Bunda washerehekea mwaka mpya kwa usafi
WAZEE wa Kata ya Nyamuswa, wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kupitia umoja wao ujulikanao kwa jina la Umoja wa Wazee wa Maendeleo Kata ya Nyamuswa, juzi walisherehekea mwaka mpya wa 2016 kwa kufanya usafi wa mazingira na kujenga chumba cha maiti katika Kituo cha Afya Ikizu.
9 years ago
Mwananchi27 Dec
2,000 wakimbia kukeketwa Tarime
9 years ago
Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)26 Dec
Slain Mwanza police officer to be buried in Tarime
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
THE body of the slain Mwanza police officer, Constable Petro Matiko, will be transported to his home village, Nkenge, in Tarime District in Mara Region, on Friday, for burial. View Comments. Workmates, friends and relatives led by Mwanza RPC, Mr Yustus ...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
TIGO yazindua duka jipya Musoma Mjini
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini , Mhe.Zelothe Stephen akikaribishwa na mwenyeji wake, Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo kabla ya uzinduzi wa tawi jipya la Tigo Musoma mjini. Wengine pichani ni Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mara, Philip Kalangi na mwakilisi wa RAC.
Meneja wa Mauzo wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akitoa utambulisho kwa meza kuu.
Meneja wa Mauzo Tigo Kanda ya Ziwa, Edgar Mapande akiongea na wageni waalikwa na wanahabari kabla ya uzinduzi wa Duka la...
9 years ago
StarTV18 Dec
Polisi wilayani Bunda yamtia mbaroni mwanamke mmoja kwa vitendo vya ukatili
Polisi wilayani Bunda mkoani Mara inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kumchoma moto mtoto wa kaka yake sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri kwa madai ya kuiba mboga chunguni.
Mwanamke anayeshiliwa na Polisi ametambuliwa kwa jina la Jenipher Mtaki mwenye miaka 22 mkazi wa Migungani wilayani Bunda.
Tukio hilo ambalo limetokea desemba 15 mwaka huu, majira ya saa za usiku katika eneo la Migungani mjini Bunda, liligunduliwa na wasamalia wema waliotoa taarifa kwa Rebeca Kibore...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-jfe2sdAw0C4/VmjZCHojsUI/AAAAAAAAXZ0/JwBH_-B768w/s72-c/2015-12-09%2B09.16.28.jpg)
9 years ago
AllAfrica.Com08 Dec
Tanzania: Chadema Names Nominee for Tarime District Council Chairmanship
AllAfrica.com
Tarime — Chadema has nominated Nyamwaga ward councilor Mr Moses Yomani to bear the party's flag in the race for Tarime district council chairmanship. Mr Yomani defeated his rival for the seat Matongo ward councilor Mr Samson Nsanda after garnering ...
9 years ago
TheCitizen07 Dec
Chadema names nominee for Tarime district council chairmanship
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Majambazi Bunda yaua muuza vitumbua kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKAZI wa mji wa Bunda mkoani Mara hivi sasa wanaishi maisha ya hofu baada ya kundi la majambazi kuvamia na kumuua muuza vitumbua.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:40 usiku na kusababisha taharuki kwa wananchi ambao walilazimika kukimbia kunusuru uhai wao.
Majambazi hayo yalivamia katika eneo jirani na Benki ya NMB Tawi la Bunda na kufyatua risasi ambayo ilimuua kijana huyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hayo pia yalivamia katika vibanda vya...
9 years ago
Habarileo06 Dec
Maji yaua watoto 2 Bunda
MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Bunda, mkoani Mara zimesababisha kifo cha mtoto wa miaka sita, baada ya kusombwa na maji.
9 years ago
StarTV03 Dec
Mbunge wa Bunda kutowavumilia watendaji wazembe katika utoaji wa huduma kwa wananchi
Mbunge wa jimbo la Bunda Boniphace Mwita amesema kuwa hatawavumilia watendaji wa serikali na viongozi wa ngazi mbalimbali jimboni humo ambao watashindwa kwenda na kasi ya rais Magufuli kwani hatakuwa tayari kufanyakazi na watu wazembe.
Mbunge huyo wa Bunda ameyasema hayo kwenye kikao elekezi alichokiandaa katika kata ya Nyamuswa kikishirikisha viongozi wa ngazi mbalimbali na watendaji wote wa serikali, ili kila mmoja atambuwe wajibu wake wa kutumikia wananchi.
Mbunge wa Bunda Boniphace...
-
Malawi
-
Magufuli
-
Lazarus
-
Kisarawe
-
Chakwera
-
Yanga
-
Urais
-
Salaam
-
Ccm
-
Ziara