Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BULAYA AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI BUNDA

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi

Raia nchini Tanzania wameungana na maafisa wa serikali kuitikia wito wa Rais John Magufuli wa kutumia Siku ya Uhuru kufanya usafi.

 

9 years ago

Mtanzania

Rais Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi

Pg 1NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS Dk. John Magufuli jana aliwaongoza Watanzania kote nchini kutumia siku ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika kufanya usafi katika maeneo ya soko la Feri jijini Dar es Salaam.

Akiwahutubia wananchi wakiwamo wavuvi alioshirikiana nao katika kazi ya kufanya usafi, Dk. Magufuli aliwashukuru kwa kujitokeza na kusema kwamba hiyo ni chachu kwa wananchi wengine kujitolea kufanya usafi katika maeneo wanayoishi.

“Ni aibu kwa nchi yetu ya Tanzania...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Bulaya alikoroga Bunda

UAMUZI wa vikao vya juu vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwapitisha wagombea ubunge bila ridhaa ya wanachama huenda ikaathiri mwenendo wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda.

Taarifa kutoka jimboni humo zinasema kwamba uteuzi wa Esther Bulaya aliyeanguka kwenye kura za maoni jimboni humo, umekipasua chama hicho baada ya viongozi wote wa juu jimboni humo kusimamishwa kazi na baadaye kutangaza kuachia madaraka.

Esther alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kabla ya kuamua...

 

10 years ago

TheCitizen

Bulaya shuns Bunda contest

Anxiety has gripped Bunda town since Sunday after outspoken Special Seats MP Esther Bulaya, who had earlier said she would seek CCM endorsement to vie for the Bunda Urban seat, announced in her facebook account that she has changed her mind and contest for Bunge via the Opposition.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yawaanika Wassira, Bulaya Bunda

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimemshukia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira jimboni kwake Bunda na kuwaeleza wananchi namna alivyo kigeugeu na mbadhirifu wa...

 

9 years ago

StarTV

Chadema yapasuka Bunda, kisa Bulaya

KARIBU robo tatu ya viongozi wakuu wa Chadema wilayani hapa, walijiuzulu nyadhifa zao jana na kutangaza kuhamishia nguvu zao kwa mgombea ubunge wa CCM, Stephen Wasira. Wamedai wanafanya hivyo kutokana na kukerwa na kitendo cha makao makuu ya Chadema, kumpitisha Esther Bulaya kuwa mgombea ubunge jimboni humo, licha ya kuwa alishika nafasi ya tatu katika kura za maoni.

Bulaya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), alihamia Chadema hivi karibuni na moja kwa moja kwenda kujaribu siasa za...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA NAPE NNAUYE ASHIRIKI KUFANYA USAFI NA WANANCHI JIMBONI KWAKE


Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye na wakazi wa jimbo hilo ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
Usafi ukiendelea Mtama ambapo wananchi wamesafisha mitaro yote pamoja na maeneo ya sokoni.

Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CCM. ESTER BULAYA,AMEPOKELEWA NA MAELFU YA WAKAZI WA BUNDA


Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kupitia vijana (ccm) Ester Bulaya, amepokewa na maelfu ya wakazi wa Bunda  baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha demokrasia na mendeleo CADEMA na kudai tayari amechukua na kurudisha fomu kwa ajili ya kuwania Ubunge wa jimbo la Bunda mjini kupitia chama hicho na kuahidi kushirikiana na wananchi kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi bila kujali itikadi ya vyama na kusisitiza hataweza kuwaangusha wanabunda na watanzania wote.Bulaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani