DC IKUNGI MKOANI SINGIDA AZINDUA MNADA MKUBWA WA MIFUGO NA MAZAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-jU0CDu2LvY8/Xvdc91RsEeI/AAAAAAAAG0c/BcfwnmL2vj4yDZ5TIP69YDsdjWMl8QMpQCLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-06-27-15h10m05s721.png)
Nyama ikichomwa.
Sola zikiuzwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akihutubia wananchi wakati akizindua Mnada wa Mifugo na Mazao katika Kijiji cha Ighuka wilayani humo mkoani Singida juzi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambaye amemalliza muda wake, Ally Mwanga akizungumzia mnada huo na faida zitakazo patikana.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitembelea mabanda.
Mwonekano wa mnada huo. Nyama ya mbuzi ikiuzwa kwenye mnada huo.
Mchoma nyama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--VGSUQCZTuc/XkzxZg8XIsI/AAAAAAALePQ/nypcgu1kJdIuBYeBv_x6e4pgLBOyeOkJACLcBGAsYHQ/s72-c/344.jpg)
SOKO KUBWA LA MAZAO NA MNADA WA MIFUGO KUANZISHWA KYERWA.
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inajipanga kujenga Soko la Mazao na Mnada wa Mifugo katika Kata ya Murongo Wilayani Kyerwa lenye thamani ya Shilingi 114, 549,996 lengo likiwa ni kudhibiti biashara ya magendo ya usafirishaji na uuzaji wa mazao na mifugo kwa njia zisizokuwa halali.
Mpango huo ni miongoni mwa vipaumbele ambavyo vimebainishwa katika Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020-2021, uliowasilishwa katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo,...
11 years ago
Michuzi22 May
5 years ago
MichuziDC IKUNGI AYAPONGEZA MASHIRIKA MAWILI VITA DHIDI YA CORONA MKOANI SINGIDA
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/kzG2qY2Z3KY/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Umeme wa upepo mbioni Mkoani Singida, mradi mkubwa utakaonufaisha Taifa
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.
Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano Tanzania,Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akipanda mti ikiwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ya uzindua wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.
Afisa mwandamizi wa...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA MRADI MKUBWA WA REA WA SHILINGI BILIONI 25.7 MKOANI SIMIYU
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Wataka viwanda vya mazao ya mifugo
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vXGadZUqlWU/VcaxGqTakNI/AAAAAAAAjoo/ITjO-tPZSgw/s72-c/12.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI SAFI MKOANI LINDI,AWAAGA WANANCHI WA LINDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-vXGadZUqlWU/VcaxGqTakNI/AAAAAAAAjoo/ITjO-tPZSgw/s640/12.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-p4G-gnmk8Cw/VcaxHM1SuyI/AAAAAAAAjos/yx-4BHGbhmg/s640/14.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-m5ULtBA7jpA/Vca4qJQ_n6I/AAAAAAAAjqE/lAmZ6lJ2V9k/s640/08.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-emUbr3UiPIM/U1MiHSlZttI/AAAAAAAFb7k/DL_kdZj5Bfo/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Mnada mkubwa wa Malori ya Mizigo aina ya Volvo na Leyland DAF
![](http://4.bp.blogspot.com/-emUbr3UiPIM/U1MiHSlZttI/AAAAAAAFb7k/DL_kdZj5Bfo/s1600/unnamed+(5).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-weNZ8VXR2qU/U1MiHUYZTqI/AAAAAAAFb7o/KpBdvZPF4-M/s1600/unnamed+(6).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-j3CrEnVevdc/U1MiIUjvZAI/AAAAAAAFb70/l06BVIM8fv4/s1600/unnamed.png)