Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme wa upepo mbioni Mkoani Singida, mradi mkubwa utakaonufaisha Taifa

IMG_6596

Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6602

Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano Tanzania,Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akipanda mti ikiwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ya uzindua wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6605

Afisa mwandamizi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dola za Marekani Milioni 132 kutumika katika mradi mkubwa wa umeme wa upepo wa Megawati 50 Singida,Kutoa ajira 2,200

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa akitoa maagizo kwa Wakandarasi, Wataalamu kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Wizara ya Nishati na Madini na viongozi mbalimbali kwenye majumuisho ya ziara ya kamati hiyo, baada ya kufanya ukaguzi wa miradi ya umeme mkoani Singida pamoja na kuzungumza na wananchi. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa (katikati) akisisitiza jambo katika eneo la mradi wa kuzalisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa umeme wa upepo Singida ‘waudhi’ wananchi

IMG_6587

Baadhi ya wakazi wa kata ya Kisaki manispaa ya Singida waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa.

IMG_6596

Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

Na Jumbe Ismail, Singida

SIKU chache tu baada ya Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilali kuweka jiwe la msingi la...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132

MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dola milioni 136 kutumika mradi umeme wa upepo

DOLA milioni 136 za Marekani zitatumika katika mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za upepo kwa awamu ya kwanza ya uzalishaji wa MW 50 mkoani Singida. Fedha hizo pia...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA

 Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida.  Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi mkubwa wa umeme Dar kukamilika mwakani

MRADI mkubwa wa megawati 80 kwa ajili ya kuboresha umeme katikati ya Jiji la Dar es Salaam unatarajia kukamilika Agosti mwakani.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA KASI YA UJENZI MRADI MKUBWA WA UMEME WA JULIUS NYERERE WA MW 2115

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa ameridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa Mradi mkubwa wa Kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Mei 14, 2020, baada ya kufanya ziara kwenye eneo la mradi unaotarajiwa kuzalisha jumla ya Megawati 2115“ utakapokamilika 2022.
Waziri Mkuu ambaye alifuatana na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo mhandisi Zena Said watendaji wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI MKOANI SINGIDA AZINDUA MNADA MKUBWA WA MIFUGO NA MAZAO


 Nyama ikichomwa. Sola zikiuzwa.

 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akihutubia wananchi wakati akizindua Mnada wa Mifugo na Mazao katika Kijiji cha Ighuka  wilayani humo mkoani Singida juzi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa  Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambaye amemalliza muda wake, Ally Mwanga akizungumzia mnada huo na faida zitakazo patikana.  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitembelea mabanda.

Mwonekano wa mnada huo. Nyama ya mbuzi ikiuzwa kwenye mnada huo.

Mchoma nyama...

 

10 years ago

Michuzi

MCC kudhamini miradi ya umeme mkoani Singida

Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Ikungi, Bwana Muhammad Nkya akiongea na wataalamu waelekezi wa masuala ya mazingira na jinsia, kutoka kampuni ya CH2M HILL ya Marekani Bi. Cinamon Vann na Bwana Piercarlo Smith (kushoto) walipokuwa mkoani Singida kwa ajili ya upembuzi yakinifu wa miradi ya umeme inayotarajiwa kufadhiliwa na shirika la changamoto za millennia (MCC), makubaliano ya ufadhili wa utekelezaji wa miradi hiyo kwa Tanzania yanatarajiwa kufanyika mwezi Septemba 2015. Mshauri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani