5 years ago
MichuziAliyewahi kuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Njombe atimkia CCM
Aliyewahi kuwa katibu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Njombe aliyepokelewa nafasi hiyo kwenye chaguzi za ndani za chama hicho mwaka 2019 Ndugu Alatanga Nyagawa,Leo ametangaza kukihama chama hicho na kurejea CCM kwa madai ya kukosekana kwa ajenda ndani ya upinzani.
Vile vile Alatanga amesema hakuna ubishi kwamba Serikali ya awamu ya Tano imepiga hatua kubwa katika shughuli za maendeleo na upinzani umekosa ajenda.
Alatanga ambaye aliwahi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4LhompkmrQY/Xu8pCx6e8kI/AAAAAAALuzw/Vzxt0kFCBLQKs7aTB97f03cncgvnip4uwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-21%2Bat%2B11.43.04%2BAM.jpeg)
MKOA WA MOROGORO KUUNGANISHWA NA MKOA WA NJOMBE NA RUVUMA KWA BARABARA ZA LAMI
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, amesema sasa Serikali iko katika hatua za kuunganisha mkoa wa Morogoro na mikoa jirani ya Njombe na Ruvuma kwa barabara ya lami ili kufungua mikoa hiyo yenye uzalishaji mwingi wa mazao, misitu na chakula.
Amezungumza hayo akiwa katika eneo la Kisegesa iliyopo katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro baada ya kukagua eneo lililokarabatiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), ambalo lilipata athari kubwa za mvua...

Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z0bgxfRLJTw/Xu8ooOB6fZI/AAAAAAALuzg/_18wmJJA_isqPVRzT91_rkVKL0S-30xMACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200621-WA0041.jpg)
Baraza la wazazi Njombe lapitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli
Baraza la Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe lililoketi Juni 20/2020 chini ya Katibu wake wa Mkoa Ndg, Hussein Mwaikambo (Senetor) pamoja na mambo mengine kwa kauli moja lilipitisha Azimio la kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli kwa Utendaji wake uliotukuka.
Akizungumza na Wajumbe wa Baraza hilo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Njombe Ndg, Hussein Mwaikambo Katibu wa Jumuiya hiyo alisema, katika Kipindi cha Miaka mitano Rais...
Akizungumza na Wajumbe wa Baraza hilo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Njombe Ndg, Hussein Mwaikambo Katibu wa Jumuiya hiyo alisema, katika Kipindi cha Miaka mitano Rais...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xhgIfvtbEnU/Xu3hPPD3cgI/AAAAAAALuuM/fGrEzhsJnwAser8bxnboAlyKGc22Ry9eACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-20%2Bat%2B12.14.55%2BPM.jpeg)
DC LUDEWA AKEMEA WATU WANAOHUSISHA MASUALA YA MAENDELEO NA SIASA
Na Shukrani Kawogo, Njombe
Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amekemea watu wanaohusisha masuala ya maendeleo na siasa na kusababisha wilaya hiyo kubaki nyuma kimaendeleo.
Hayo ameyasema wakati akipokea msaada wa mashine ya kutolea copy iliyotolewa na mdau wa maendeleo ambaye pia ni mzawa wa Ludewa Dk. Primus Nkwera.
Alisema kuwa watu wanafikiri kila maendeleo yatakayofanywa na mdau wanasema ni siasa badala ya kumpa sapoti ya mchango wake.
"Mimi namshukuru Dk. Nkwera kwa...

CCM Blog18 Jun
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LOCpssTMyE0/Xut7m2rC8vI/AAAAAAALue8/pyZjmKmU154tziMn--gUugiCc7DKnVQBQCLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
WANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Na Amiri Kilagalila,Njombe. Wananchi wa kitongoji cha Mking’ino kijiji cha Luvuyo kata ya Madope wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji chao na vijiji jirani ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii. Wakazi hao akiwemo Erasto Mtega, Junitha Mbukwa na Stia Chaula wamesema asilimia kubwa ya wakazi wa eneo hilo ni wakulima wa mazao ya viazi mviringo na mahindi lakini changamoto ya ubovu wa barabara inawalazimu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-p_nG-QLlZI4/XutbYIFT8eI/AAAAAAALudM/IxWGmPyYpEI5ik4_kcDi7US74EH0F0TqQCLcBGAsYHQ/s72-c/1%25281%2529.png)
TAG Njombe wamkabidhi milioni mbili Ole Sendeka kwa ajili ya kupambana na Corona
Na Amiri kilagalila,Njombe Mkuu wa mkoa wa Njombe Chiristopher Ole Sendeka,amepokea msaada wa fedha shilingi milioni mbili zilizotolewa na ujumbe wa viongozi wa dini wa kanisa la Tanzania assemblies of God (TAG) jimbo la Njombe kusini, uliongozwa na askofu wa jimbo hilo, Phairod Nyagawa kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na virusi vya Corona. “Kwa hiyo nalipongeza kanisa kwa kumuunga mkono Mh.Rais katika msimamo aliouchukuwa”alisema Ole Sendeka mara baaa ya kukabiiwa fedha Vile vile Kufuatia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OVGUPJuKTCc/XuodLT8uq1I/AAAAAAALuPk/ppH-_F58950m4Z45C5lQXXetGX0u2zq8ACLcBGAsYHQ/s72-c/BWAWA.png)
Ufugaji wa Samaki ni neema Njombe
Na Amiri kilagalila,Njombe Wafugaji wa samaki mkoani Njombe wametakiwa kuwekeza zaidi katika ufugaji huo kufuatia utafiti kuonyesha fursa kubwa ya zao hilo kwa aina ya Kambale, Sato na Perege Kwa muda mrefu wakazi wa mkoa wa Njombe wamekuwa hawafugi samaki katika baadhi ya maeneo kwa kuhofia hali ya hewa ya baridi ambapo Niko Msigwa mkulima wa kijiji cha Kinenulo ameanza kunufaika na ufugaji wa huo Biashara ya samaki mkoani Njombe imekuwa na soko la ndani la uhakika na ndio sababu iliyo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m3REVwRCIPA/XujWHTAYhEI/AAAAAAALuEo/EaN9bfVK-AowyddKposPBhOvI2QlN7_1QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.46.16%2BPM.jpeg)
HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA
Chama cha mapinduzi wilayani Ludewa Mkoani Njombe kimesema hakitaki kutumia nguvu nyingi kuwanadi wagombea wa nafasi ya Ubunge na udiwani, hivyo wagombea hao wanapaswa kuhakikisha wanakubalika katika jamii.
Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.
Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...

Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AtvCqIAk4Pc/XufaY3tfSSI/AAAAAAALt8U/OAtryLERFL8r76vYfX6kU5sUSd2i_L5CACLcBGAsYHQ/s72-c/MTAMIKE.jpg)
CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema
Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe, kimefanikiwa kumnasa na kumkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa diwani wa kata ya Mjimwema mjini Njombe kupitia tiketi ya CHADEMA Abuu Mtamike huku kikikiri kuwa amewasumbua kwa muda mrefu kama alivyowasumbua aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa Fakii Lulandala. Katika kikao cha kumpokea diwani huyo viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na serikali wamesema bwana Mtamike sasa ameutambua ukweli juu ya kazi kubwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--1SsMNXTNlA/Xte43rj1Z-I/AAAAAAALsiE/8bKS_oYfOpA-47gLKbwT3EpwJ5_mLzN0wCLcBGAsYHQ/s72-c/A.jpg)
Njombe DC yaagizwa kuwachukulia hatua watendaji wanaosababisha hoja za mkaguzi
Na Amiri kilagalila,Michuzi TV-Njombe
Halmashauri ya wilaya ya Njombe imeagizwa kuwachukulia hatua watendaji wake wanaosababisha kwa hoja za kiukaguzi pamoja na kutakiwa kuzijibu kwa wakati.
Katibu tawala mkoa wa Njombe Catalina Revocati kwa niaba ya mkuu wa mkoa ametoa agizo hilo katika kikao cha baraza maalum la madiwani la kujadili hoja za CAG na kwamba pamoja na halmashauri hiyo kupata hati safi kwa miaka minne mfululizo lakini inapaswa kuzifanyia kazi hoja hizo huku mkuu wa wilaya ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VMd3oaOoRLg/XswZXktkdqI/AAAAAAALrgM/jJdiaP2CQAQe_OXQgSZKCWiD7WUgZ0jqACLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
Zahanati pasua kichwa Njombe yazinduliwa,yaanza kutoa huduma
Na Amiri kilagalila,Njombe
Wakazi wa mitaa ya Sido na Buguruni halmashauri ya mji wa Njombe wameshindwa kuzuia hisia zao baada ya kukamilika ujenzi na kuzinduliwa kwa zahanati ya mitaa hiyo ambayo ujenzi ujenzi wake umesuasua kwa zaidi ya miaka 9.
Ujenzi huo ulioghalimu zaidi ya Mil 110 umechukua muda mrefu kukamilika kutokana na sababu mbalimbali matumizi mabaya ya fedha za ujenzi huku pia tofauti za kiitikadi zikitajwa kuwa kikwazo kikubwa katika eneo hilo.
Baadhi ya akina mama...

Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jP5-b6PYtDI/XsaWn-IpvbI/AAAAAAALrJo/_B0e2LVmR_I1Cfjb7zeb3WAqXGBiwB-0wCLcBGAsYHQ/s72-c/fd8be12e-6821-47aa-87d3-557420ce1901.jpg)
CCM Ludewa yaishauri ofisi ya Wilaya Udhibiti wa COVID-19
Na Shukrani Kawogo, Njombe
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)wilayani Ludewa mkoani Njombe imeishauri serikali kupitia mkuu wa wilaya hiyo Adrea Tsere kuweka mkakati madhubuti wa kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID 19) katika maeneo ya mikusanyiko ikiwemo maeneo ya minada na maeneo ya kuingilia ndani ya wilaya.
Ushauri huo umetolewa katika kikao cha taarifa juu ya mwenendo wa ugonjwa huo katika wilaya hiyo ambayo ilitolewa na Muuguzi mkuu ofisi ya wilaya Bw....
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mYc8IhliDFA/XsYFGLCYEZI/AAAAAAALrC0/lzZDesIV-pwsed_3BH_OO19UcIPnLdk4QCLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
MAAFISA TARAFA NJOMBE WAFURAHIA KUPATA PIKIPIKI KUTOKA KWA JPM
Na Amiri kilagalila,Njombe
Changamoto ya usafiri ili kuwafikia wananchi katika vijiji mbalimbali kwa maofisa tarafa mkoani Njombe sasa imepatiwa ufumbuzi baada ya serikali kugawa Pikipiki kwa kila ofisa hatua itakayochochea uhamasishaji shughuli za maendeleo.
Wakizungumza mara baada ya kukabidhiwa pikipiki na katibu tawala mkoa wa Njombe kwa niaba ya mkuu wa mkoa baadhi ya maofisa tarafa akiwemo Lilian Nyemele na Damas Kavindi wanasema tatizo la usafiri kwao limekuwa gumu ili kuwafikia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-E4KJVgv4sV0/XsUsQhzb2MI/AAAAAAALq-U/OQZQrcIeFg0oT5FGT0C9QDncCcgFZgvFwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
RED CROSS Tanzania,kuvifikia vijiji 381 Njombe kupeleka elimu ya Corona
Na Amiri kilagalila,NjombeCHAMA cha Msalaba Mwekundu (RED CROSS TANZANIA) wamezindua mpango wa utoaji elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona mkoa wa Njombe,ili kukata mnyororo wa maambukizi ya virusi hivyo nchini Tanzania.
Akizungumza mara baada ya uzinduzi wa zoezi hilo,Rais wa Tanzania red cross Society David Kihenzile,amesema kwa kuwa serikali ilishaanza kufanya kazi ya uelimishaji lakini wao kama Chama wameona haja ya kuongeza nguvu kama wasaidizi wa serikali katika utoaji...

-
Malawi
-
Magufuli
-
Lazarus
-
Kisarawe
-
Chakwera
-
Yanga
-
Urais
-
Salaam
-
Ccm
-
Ziara
Top 10
Tags
Today
12-February-2025 in Tanzania