Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA UHAMASISHAJI WA KUSOMA VITABU LAFANYIKA MICHEWENI

 MSAIDIZI Mkutubi Mkuu wa Shirika la Huduma za Maktaba Zanzibar, Abdalla Omar akielezea namna ya uzinduzi wa tamasha la uhamasishaji wa kusoma vitabu, kwa wanafunzi na wananchi wa wilaya ya Micheweni Pemba, lililofanyika juzi. AFISA Elimu na Mafunzo ya Amali wilaya ya Micheweni Pemba Mbwana Shaame, akielezea faraja yao, kwa Shirika la Huduma za Maktaba Zanzibar, tawi la Pemba kuanza wilaya hiyo, uzinduzi wa tamasha la uhamasishaji wa usomaji wa vitabu kwa wananchi na wanafunzi lililofanyika...

 

10 years ago

Daily News

Pemba mother of eight buries newborn baby


Pemba mother of eight buries newborn baby
Daily News
POLICE in Zanzibar have arrested a 40-year-old mother of eight children who recently buried her newborn baby in Mapofu village, Micheweni district in Pemba North region. The woman, identified as Faida Mohammed, reportedly gave birth to a baby almost ...

 

10 years ago

Habarileo

Wana-CCM Micheweni wamtaka Dk Salmin

WANACHAMA na wakereketwa wa CCM Wilaya ya Micheweni wamekiomba Chama Cha Mapinduzi kumpeleka Rais mstaafu wa Awamu ya Tano Zanzibar, Dk Salmin Amour Juma `Komandoo’ kisiwani Pemba ili akafungue maskani waliyoijenga na kuipa jina lake.

 

10 years ago

Mtanzania

Jaja aanza kuonyesha makali Pemba

Santos Santana ‘Jaja’

Mchezaji wa Yanga Geilson Santos Santana ‘Jaja’ akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa yanga, Beno Njovu, jana baada ya kusaini kuichezea timu hiyo kwa miaka miwili.

NA HUSSEIN OMARI, PEMBA

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Mbrazil Geilson Santana ‘Jaja’, jana ameanza kuonyesha makali yake baada ya kuifungia timu yake bao, katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chipukizi, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Gombani, Chakechake Pemba.

Mchezaji huyo amejiunga na Yanga mwezi...

 

11 years ago

Habarileo

Pemba watakiwa kutumia vyandarua

WANANCHI wa Pemba wametakiwa kuendelea kutumia vyandarua, kama njia pekee ya kupambana na malaria na kupunguza vifo vya akinamama na watoto.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 19 walazwa kwa kula samaki Pemba

Watu 19 wakazi wa Kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni wamelazwa hospitali ya wilaya hiyo baada ya kula samaki aina ya puju ambaye anadhaniwa kuwa na sumu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagame yaipeleka Yanga Pemba

KLABU ya Yanga, imepanga kuipeleka timu visiwani Pemba kwa kambi ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza Agosti 8, jijini Kigali, Rwanda. Yanga iliyopo kundi A, itaanza kampeni...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewakumbusha wagonjwa na wafiwa kuwa na subra na uvumilivu, wakielewa kuwa hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu. Akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Wilaya ya Mkoani, Maalim Seif amesema maradhi ni jumla ya mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na kwamba wanaopatwa na mitihani hiyo hawana budi kushuru na kuomba dua. Maalim Seif ambaye yuko kisiwani Pemba kwa ziara ya siku sita ya kuangalia wagonjwa,...

 

11 years ago

Michuzi

Dk.Shein ziarani Kusini Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mshauri wa Rais Uwekezaji Bw.Abrahman Mwinyi Jumbe (kushoto) akipotembelea shamba la ufugaji wa samaki la kikundi cha Hakiliki Mwambe kusini Pemba jana.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa  wanakikundi cha Ufugaji wa Samaki cha Hakiliki Mwambe kusini Pemba jana,wa Pili (kulia) Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdilahi Jihadi Hassan Rais wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka Benki ya Wanawake Pemba

MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itapeleka Benki ya Wanawake katika mikoa ya Pemba, ili nao waweze kunufaika na benki hiyo. Msabaha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pemba yapongezwa kudhibiti VVU

SERIKALI  imekipongeza Kisiwa cha Pemba kwa kuwa na idadi ndogo ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU). Pongezi hizo zilitolewa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,...

 

11 years ago

Habarileo

Asilimia 93 ya Unguja, Pemba kuna umeme

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imefanikiwa kusambaza huduma za umeme mjini na vijijini Unguja na Pemba kwa asilimia 93.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aunguruma Pemba

 

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali katika Mchakato wa Katiba Mpya.

35

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg....

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali ya mtumbwi yaua mmoja Kaskazini Pemba

>Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu kunusurika baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka kwenye mashamba ya mwani kupigwa na mawimbi na kuzama  baharini.

 

11 years ago

Michuzi

UKAWA waendelea na Kampeni yao Pemba

Kiongozi wa UKAWA Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya...

 


Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani