Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba
![](http://2.bp.blogspot.com/-MRuvCX_795w/U8rtuRjwPaI/AAAAAAAF3zw/qHiGf4up6Rc/s72-c/unnamed+(38).jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewakumbusha wagonjwa na wafiwa kuwa na subra na uvumilivu, wakielewa kuwa hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu. Akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Wilaya ya Mkoani, Maalim Seif amesema maradhi ni jumla ya mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na kwamba wanaopatwa na mitihani hiyo hawana budi kushuru na kuomba dua. Maalim Seif ambaye yuko kisiwani Pemba kwa ziara ya siku sita ya kuangalia wagonjwa,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMaalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s72-c/Aaa.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA KAMATI ZA USHINDI ZA WANAWAKE KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZLWkp7iqi0w/VewRCwA1npI/AAAAAAABG7M/yd4CjTn99kw/s640/Aaa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wajumbe wa Kamati za Ushindi za Wanawake wa CUF kutoka Wilaya nne za Pemba huko skuli ya Fidel Castro.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ze4jKryF0-s/VewRDBXr3qI/AAAAAAABG7U/74GAvt47nIU/s640/Aa1.jpg)
Wajumbe wa Kamatui za Ushindi za Wanawake kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hanmad mara baada ya kuzindua kamati hizo huko skuli ya Fidel Castro mkoa wa Kuisni Pemba.
Na. OMKR Zanzibar
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad leo amezindua Kamati za Ushindi za...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AGBPhObOW6E/VZl8iJgKm_I/AAAAAAAHnKU/_6QAAnN4y20/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad aongoza maziko ya sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, Pemba
![](http://4.bp.blogspot.com/-AGBPhObOW6E/VZl8iJgKm_I/AAAAAAAHnKU/_6QAAnN4y20/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GMTsDcjv9O0/VZl8iHDe1wI/AAAAAAAHnKo/GCBSLsE_83c/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RTKv-EF7ub4/VZl8iBGBaNI/AAAAAAAHnKQ/de8TGVAJ_NU/s640/unnamed%2B%252829%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gDRvUbeGG0s/U9P3GacYBeI/AAAAAAAF6pY/JBHNVd8RQAg/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad, atembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar
![](http://1.bp.blogspot.com/-gDRvUbeGG0s/U9P3GacYBeI/AAAAAAAF6pY/JBHNVd8RQAg/s1600/unnamed+(8).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AQerfULHSlg/U9P3G1MPEdI/AAAAAAAF6pc/1BA2KHqgMKE/s1600/unnamed+(9).jpg)
9 years ago
IPPmedia31 Oct
Maalim Seif Sharif Hamad
IPPmedia
IPPmedia
Civic United Front (CUF) General Secretary and Zanzibar presidential candidate, Maalim Seif Sharif Hamad, has issued a three-day ultimatum to the Zanzibar government to proceed with the release of election results or let Zanzibaris decide their fate.
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Nilimwachia huru Maalim Seif Sharif Hamad - Jaji Ramadhani
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7bnKEG2ZHo4/VYc1Xt9kWaI/AAAAAAAHiPw/h4ZnTwVV4UY/s72-c/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
maalim seif afariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s72-c/MMGL1355.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s640/MMGL1355.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PEHTXMA_vyI/Vdn0mponBbI/AAAAAAAAYII/GvesfgUN41o/s640/MMGL1349.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CQ2mkNw5I-w/VWtA_jiQcOI/AAAAAAAHbA0/ZQB4LwYRqW0/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-CQ2mkNw5I-w/VWtA_jiQcOI/AAAAAAAHbA0/ZQB4LwYRqW0/s640/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Dv9J0lhRyGQ/VWtA_6HmImI/AAAAAAAHbBI/JceycW54RSs/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10