5 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA ARUSHA IDD KIMANTA AMTAKA DC BALELE KUSIMAMA VEMA KUHAKIKISHA HAKUNA HATI CHAFU MONDULI
Na Woinde Shizza , Michuzi Tv-Monduli
MKUU wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta amemueleza Mkuu wa Wilaya ya Monduli ACP Edward Balele kuwa Wilaya ya Monduli haijawai kupata hati chafu tokea Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, hivyo amemtaka aendelee kusimamia vyema ili hati chafu isiwepo..
Kimanta ameyasema hayo alipokuwa akimkabidhi ofisi Mkuu huyo wa Wilaya katika ofisi za Wilaya ya Monduli na kisha kuzungumza na watumishi wa ofisi ya mkuu wa Wilaya na halmashauri.Amemtaka Mkuu uyo wa...

CCM BlogDC MPYA ARUSHA AWAAMBIA MADAKTARI JINSI SERIKALI YA JPM ILIVYOLETA MAPINDUZI KWENYE SEKTA YA AFYA
Arusha, TanzaniaMKUU mpya wa Wilaya ya Arusha, Kenan Laban Kihongosi amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli imeleta mapinduzi makubwa na yanayostahili kupongezwa katika sekta ya afya hapa nchini.
DC Kihongosi aliyasema hayo juzi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kwa madaktari na watoa huduma ya afya ambayo aliyafungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta.
Mafunzo hayo...

MichuziWAFUASI WA CHADEMA ARUSHA WAFURAHIA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA HUO KUHAMISHWA, WENGINE WASIKITISHWA
Na Woinde Shizza, Michuzi Tv- Arusha
WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wamefurahia uhamisho wa kikazi wa aliyekuwa Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna ambaye amehamishiwa katika chuo cha mafunzo ya Polisi CCP kuwa Ofisa Mnadhimu rasilimali watu,Fedha na vifaa mkoani Kilimanjaro.
Shanna ambaye alifanikiwa kutekeleza amri ya Rais John Magufuli ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa mkoani Arusha,wafuasi wa chadema wameonekana kuchekelea uhamisho huo wakidai kwamba...
5 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA ARUSHA AFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI YANAYORATIBIWA NA WCF JIJINI ARUSHA
Na mwandishi wetu, ArushaMKUU wa Mkoa wa Arusha, Idd Hassan Kimanta amesema Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) una faida kubwa kwa Wafanyakazi, Waajiri na Taifa kwa ujumla kwa vile Wafanyakazi sasa wana kinga ya kipato hata kama watapatwa na ajali, magonja kutokana na kazi.
Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo leo Juni 24, 2020 katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Laban Kihongesi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na...

CCM BlogLOWASSA, MKEWE MIONGONI MWA WANANCHI MONDULI WALIOMDHAMINI RAIS MAGUFULI KUWANIA URAIS 2020
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliomdhamini Rais Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.
5 years ago
MichuziMEYA MSTAAFU JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
Woinde Shizza, Michuzi TvA-RUSHA
Meya Mstaafu wa Halmashauri ya jiji la Arusha Kalist Lazaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa jiji la Arusha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015\2020 licha ya Halmashauri hiyo kuongozwa na upinzani.
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono mh.Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...
5 years ago
MichuziMEYA MSTAAFU WA JIJI LA ARUSHA AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
Woinde Shizza, Michuzi Tv ARUSHA MEYA Mstaafu wa Halmashauri ya jiji la Arusha Kalist Lazaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo kwa jiji la Arusha katika kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015 hadi 2020 licha ya Halmashauri hiyo kuongozwa na upinzani.
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...
Kalist aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha na kuwataka Wana Arusha kumuunga mkono Rais kwa hatua yake aliyoahidi na kuendelea kuahidi kuwa...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KIMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KAMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kamanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.
IKULU, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Juni, 2020 amemuapisha Bw. Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Hafla ya uapisho huo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo pia Mhe. Rais Magufuli na...

CCM BlogRAIS MAGUFULI AWATUMBUA RC GAMBO, MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NA MKURUGENZI WA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Juni, 2020 ametengua uteuzi wa viongozi 3 wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo.
Kwanza,Mhe. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo na amemteua Bw. Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Kimanta alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha. Nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli itajazwa baadaye.
Pili,Mhe. Rais...
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziNHC YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAUZO YA VIWANJA VYAKE MRADI WA SAFARI CITY ARUSHA
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limebadilisha viwango vya bei za kuuzia viwanja vyake kwenye mradi wa Safari City mkoani Arusha kwa kutoa punguzo la asilimia 40% kwa viwanja vyote. Hayo yamebainishwa jana na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha Ladislaus Bamanyisa wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Safari City kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula alipotembelea mradi huo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya NHC...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI ARUSHA LAJIPANGA KUTOA USHIRIKIANO KWA WAONGOZA UTALII WAKATI HUU WA CORONA
Na Woinde Shizza,Arusha
Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha,limejipanga kutoa ushirikiano kwa waongoza utalii mkoani hapa katika kipindi hiki ambacho wanatarajia kuanza kupokea watalii kwa vingi baada ya ugonjwa wa Corona kupungua kwa kiasi kikubwa hapa nchini.
Akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku sita ya wadau wa utalii yaliyoandaliwa na chama cha waongoza utalii Tanzania (TSG)jijini hapa,Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha,Jonathan Shanna alisema kuwa jeshi hilo lipo imara kuimarisha ulinzi...

MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LAFANIKIWA KUZIMA TUKIO LA KUOZESHWA MTOTO WA MIAKA 12
Na.Vero Ignatus.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa kuzima tukio la kuozeshwa kwa mtoto wa miaka 12 ambapo tukio hilo limetokea Kata ya Msa wilaya ya Arumeru ambapo wazazi wake walitaka kumuozesha kwa mwanume huyo kwa tamaa ya mahari na mifugo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Jonathan Shana amesema hivi karibuni kumeibuka wimbi hususani watu wenye tamaa ya mahari kutumia kipindi hiki ambacho wanafunzi wa shule za msingi na sekondari waliopo likizo kutokana na ugonjwa wa corona...

MichuziNEC YAWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI, ARUSHA
Na Ashura Mohamed -Arusha
Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia Ofisi ya Afisa Mwandikishaji ambae ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha imesema kuwa itaweka wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kwa siku nne mfululizo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha pamoja na wawakilishi wa Vyama vya Siasa mkoani Arusha,Afisa Uandikishaji Msaidizi wa Jiji hilo,Misena Bina,alisema daftari litakuwa wazi kuanzia June 17-20, katika vituo vilivyotumika awali wakati wa...

-
Malawi
-
Magufuli
-
Lazarus
-
Kisarawe
-
Chakwera
-
Yanga
-
Urais
-
Salaam
-
Ccm
-
Ziara
Top 10
Tags
Today
12-February-2025 in Tanzania