NHC YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAUZO YA VIWANJA VYAKE MRADI WA SAFARI CITY ARUSHA
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limebadilisha viwango vya bei za kuuzia viwanja vyake kwenye mradi wa Safari City mkoani Arusha kwa kutoa punguzo la asilimia 40% kwa viwanja vyote. Hayo yamebainishwa jana na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha Ladislaus Bamanyisa wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa Safari City kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula alipotembelea mradi huo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya NHC...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
NHC yazindua mauzo ya nyumba katika mradi wake wa Kawe Jijini Dar es Salaam!
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Novemba 26, 2015 Jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba katika mradi mpya wa Seven Eleven (711) ulioko Kawe Jijini Dar es Salaam (kulia) Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiwaonesha waandishi wa habari...
10 years ago
Michuzi19 Mar
WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA MRADI WA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC WILAYANI LONGIDO
![9](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/92.png)
![20](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/20.png)
![19](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/19.png)
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
NHC yaelezea namna ilivyosaidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo, akimpa maelezo ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii Bi Susan Omari alipotembelea mradi huo ulioko eneo la Isikizya Wilayani Uyui jana. (Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa).
Mwonekanao wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Isikizya Mkoani Tabora.
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo akiendelea kutoa maelezo ya...
11 years ago
Daily News07 Feb
NHC plans satellite city in Arusha
Daily News
Daily News
THE National Housing Corporation (NHC) is about to convert one of the largest horticultural estates in Arusha Region into a modern satellite city. The new structures will give location a breath-taking skyline. The Director General for NHC, Mr Nehemia ...
NHC to build more houses in the inner-cityWINN FM
all 2
11 years ago
MichuziNHC kujenga Satelite City Jijini Arusha
Eneo hilo la Tengeru ambalo zamani lilikuwa likimilikiwa na Hortculture Tanzania Ltd linatazamiwa kujengwa mji wa kisasa utakaojulikana kama Satelite City.
Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa NHC Nehemea Mchechu aliwaambia wajumbe wa kamati ya ardhi ,amaliasili na mazingira kuwa tayari NHC imenunua ekari 600 ambazo zimegharimu kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 5.
Nyumba 300 zinatarajiwa kujengwa katika awamu ya kwanza ya mradi huo...
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea eneo ambalo NHC inatekeleza mradi wa nyumba wa Kawe City
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Felix Maagi akiongoza Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unaotarajiwa kuanza katika uwanja wa kulenga shabaha wa jeshi la wananchi Kunduchi, baada ya makubaliano kati ya Jeshi la wananchi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wake na jimbo la Kahama Mbunge Mh. James Lembeli na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Profesa Anna...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Airtel yapunguza gharama za mawasilano kwa wageni/watalii
Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi hu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Dar es salaam.
Mkurgenzi mtendaji wa Airtel...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0siS8-FppAkEqLDtxV-kMBxNBBXWq9bAmNi6faJOdHPsKhPqAYxPqdTSfS24*HlfLdhoFVeqjdVCoZTaMxmPhMbxEVcv0er/pic3.jpg?width=650)
AIRTEL YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAWASILIANO KWA WAGENI/WATALII