5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5VzRDA4ybXw/XuRwahAskQI/AAAAAAALtqU/rZVtCmU0XWQAXnh8FoAVx_zPFkWIfRA-wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-13%2Bat%2B8.44.12%2BAM.jpeg)
MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AGAWA VIFAA VYA KUTUNZA MAZINGIRA
Bustani hiyo imejipatia umaarufu mkubwa wilayani Mwanga ambapo wananchi hufika kupiga picha hasa kwenye matukio muhimu kama Harusi, Mahafali na shughuli zingine.
Vifaa hivyo vimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva ambapo amesema...
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Soko la Mwanga kujengwa upya
9 years ago
StarTV04 Jan
Wakazi Chekimaji wailaumu halmashauri ya Hai kwa Uharibifu wa Mashamba Ya Mpunga
Wakazi wa Kijiji cha Chekimaji wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameulalamikia uongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kushindwa kuwashirikisha katika ujenzi wa mradi wa Barabara yenye urefu wa kilomita 30 inayojengwa kwa kiwango cha Moramu kwa gharama ya shilingi bilioni 1.4.
Malalamiko hayo yanakuja kutokana na uharibifu mkubwa wa mashamba ya Mpunga baada ya ujenzi wa barabara hiyo inayopita katikati ya mashamba hayo kuanza mara moja.
Katika mkutano maalumu uliowakutanisha wakulima wenye...
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Wachimba migodi wapatikana hai China
9 years ago
StarTV21 Dec
Kilimo cha kahawa hai Waliokitelekeza huenda wakachukuliwa hatua
Serikali kwa kushirikiana na uongozi wa vyama vya Msingi vya ushirika wilayani Hai mkoani Kilimanjaro huenda vikaanza kuwachukulia hatua za kisheria wawekezaji wote waliotelekeza kilimo cha Kahawa na kuanzisha kilimo cha mazao ya nafaka na Maua.
Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kuendelea kuzorota kwa uzalishaji wa zao hilo kongwe ambalo lilikuwa ni uti wa mgongo kwa wazawa wa mkoa wa Kilimanjaro.
Katka kikao maalumu kilichowakutanisha viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Ally Juma Mwanga aula Uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Msimamizi wa uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Ikungi, Shukrani Mshigati, akitoa ufafanuzi juu ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu wake Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi uliofanyika hivi karibuni.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Gichuli Charles.
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi wakishiriki kumchangua Mwenyekiti na Makamu wa Mwenyekiti katika halmashauri hiyo.
Mwenyekiti mteule wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi, Ally...
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ONgxDe_C1PA/VmBYW9p44kI/AAAAAAAAJRU/oWpk_Fp4ykE/s72-c/Hai%2B1.jpg)
RC Makalla afurahishwa na matokeo mazuri ya darasa la saba wilayani Hai
![](http://2.bp.blogspot.com/-ONgxDe_C1PA/VmBYW9p44kI/AAAAAAAAJRU/oWpk_Fp4ykE/s640/Hai%2B1.jpg)
Na Mwandishi Wetu, HaiMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amehudhuria halfa ya kuwapongeza walimu wilayani Hai, mkoani humo, kwa kufanikisha ufaulu mzuri wa darasa la...
9 years ago
Bongo502 Dec
Akon amenipa mwanga mkubwa kimuziki – Mayunga
![Pic 3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Pic-3-300x194.jpg)
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga amesema kukutana na Akon nchini Marekani kumempa mwanga kimuziki.
Mayunga akisalimiana na Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya
Muimbaji huyo aliyerejea nchini kutoka Marekani, alikutana na Akon nyumbani kwake Los Angeles na kurekodi naye wimbo.
Akiwa huko, Mayunga amesema alipata mafunzo mengi ya muziki.
“Fursa hii imenipa mwanga zaidi katika namna ya kufikiri na kujipanga ili kuzifikia ndoto zangu katika tasnia ya...
9 years ago
StarTV23 Nov
 Hofu ya magonjwa ya milipuko yatanda Hospitali ya wilaya Ya Hai kutokana na Vyoo Kujaa
Hofu ya kukumbwa na maradhi mbalimbali kama kipindupindu, kuhara na homa ya matumbo imetanda kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kutokana na vyoo wanavyotumia wagonjwa hao kujaa.
Hali hiyo imeleta sintofahamu kubwa juu ya usalama wa maisha yao hasa katika kipindi hiki cha Mvua kinachoambatana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko.
Ni maswali ambayo wamebaki wakijiuliza baadhi ya akinamama wanaouguza watoto wao katika wodi hii .
Baada ya star tv...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/BADRA.jpg)
WAKUTWA HAI BAADA YA KUFUKIWA NA VIFUSI MGODINI KWA SIKU 41
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Taharuki yaibuka machimbo ya Nyangalata, waliofukiwa wadaiwa kuwa hai
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-78vlpjPNxU4/VkVzDLN4hkI/AAAAAAAAWbM/g8T3cvA-Uog/s72-c/IMG_8406%2B%25281024x683%2529.jpg)
WATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUBAINIKA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70
HALMASHAURI ya wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro, imewasimamisha kazi watumishi wake wanne kwa tuhuma za kughushi hati za mishahara na kughushi nyaraka zilizofanikisha kuchukua jumla ya kiasi cha sh Mil 73.4 zikiwemo fedha za malipo ya muda wa kazi wa ziada kwa madaktari na wauguzi wa Hospitali teule ya Machame.
Tuhuma hizo pia zina mtaja Mweka hazina wa Hosptali hiyo anayedaiwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri hiyo kufanya ubadhirifu...
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Samia aitupia dongo Wilaya ya Hai
Patricia Kimelemeta na Omary Mlekwa,Hai
HALMASHAURI ya Wilaya ya Hai imedaiwa kuwa miongoni mwa wilaya zinazoongoza kwa kupokea na kutoa rushwa, hali iliyosababisha baadhi ya miradi ya maendeleo kukwama.
Hayo yalibainishwa na mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Foo, Kata ya Machame Kaskazini.
Alisema fedha za miradi ya maendeleo zilizokuwa zinatolewa na Serikali hazijatumika kwa malengo yaliyokusudiwa jambo ambalo...
9 years ago
Vijimambo25 Aug
WANANCHI WAMZUIA MGOMBEA MWENZA WA CCM BARABARANI MWANGA
![Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00661.jpg)
![Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00882.jpg)
![Mjumbe Mkuu wa Baraza Kuu la Wanawake na Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Same, Anjela Kailuki akizungumza alipokuwa anamnadi Bi. Samia Suluhu,](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_01511.jpg)
Bi. Samia Suluhu alilazimika kuusimamisha msafara wake baada ya...
-
Malawi
-
Magufuli
-
Lazarus
-
Kisarawe
-
Chakwera
-
Yanga
-
Urais
-
Salaam
-
Ccm
-
Ziara