Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AGAWA VIFAA VYA KUTUNZA MAZINGIRA

Charles James, Michuzi TVKATIKA kuhakikisha mazingira yanatunzwa pamoja na kuwa safi, Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga imekabidhi vifaa vya utunzaji mazingira kwa timu ya watendaji wake katika bustani iliyopo eneo maarufu la maliasili.
Bustani hiyo imejipatia umaarufu mkubwa wilayani Mwanga ambapo wananchi hufika kupiga picha hasa kwenye matukio muhimu kama Harusi, Mahafali na shughuli zingine.
Vifaa hivyo vimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva ambapo amesema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MWANGA APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KUTOKA TAASISI YA DK MSUYA

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro, Zefrin Lubuva akizungumza na watumishi wa Halmashauri na Wandishi wa habari wakati akipokea mashine za kisasa za kunawia kutoka kwa Taasisi ya Dk Msuya. Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk. Msuya na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha UDOM, Dk Ombeni Msuya akizungumza wakati wa kukabidhi mashine za kisasa za kunawia kwa ajili ya kujikinga na Corona wilayani Mwanga leo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga, Zefrin Lubuva akinawa kwa kutumia mashine...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AFUNGUKA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO, AWAITA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE UTALII


Charles James, Michuzi TV

NYUMBANI kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya. Nyumbani kwa Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro. Ndipo nyumbani pia kwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe.

Naizungumzia Wilaya ya Mwanga iliyopo Kilimanjaro. Wilaya ambayo licha ya kutawaliwa na milima mingi lakini ina miundombinu madhubuti ya barabara na nishati ya umeme pia.

Wilaya ya Mwanga licha ya kuwa na Tarafa sita lakini umaarufu wa Tarafa...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Agawa Vifaa vya Michezo Jimbo la Uzini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kikombe Mwenyekiti wa Jimbo la Uzini CCM Ali Shaaban wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo Mohamed Raza katika uwanja wa Mpira Bambi leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mahmoud Ame seti ya jezi wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Wilayani Mpanda waaswa kutunza vyanzo vya maji na mazingira

Na Kibada Kibada –Katavi
Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wamepewa changamoto kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi  mazingira  kwani kuharibu mazingira kunapelekea kuchangia ukame na kukosekana na maji ambayo  ndiyo uhai wa viumbe na tegemeo la maisha ya wanadamu na wanyama.
Changamoto hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpanda Kibiriti Yasini wakati akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Milala Kata ya Kabungu kwenye  maandalizi ya wiki ya maji inayotarajiwa kufanyika...

 

11 years ago

GPL

MAOFISA WA MALAYSIA WAKABIDHIWA VIFAA VYA KUTUNZA KUMBUKUMBU YA NDEGE ILIYOLIPULIWA

Mwanajeshi wa wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi akikabidhi mojawapo ya vifaa vya kutunza kumbukumbu (black boxes) vya ndege ya Malaysia MH17 iliyolipuliwa kwa maofisa wa Malaysia.
Vifaa viwili vya kutunza kumbukumbu (black boxes) vya ndege ya Malaysia vilivyokabidhiwa.…

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MAVUNDE AGAWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID-19 KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI JIJINI DODOMA.

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde leo amegawa vifaa mbalimbali vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa COVID 19 kwa Shule zote za Sekondari za umma na binafsi zenye kidato cha Sita.

Mavunde amekabidhi leo vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Tsh 2,000,000 kwa wakuu wa Shule za Sekondari katika eneo la Jiji ya Dodoma ikiwa ni siku ya kwanza kwa wanafunzi wa kidato cha sita kurejea tena shuleni baada ya agizo la Mh Rais Dr John Pombe Magufuli kuhusu kufunguliwa tena kwa...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WILAYANI MWANGA WATAKIWA KUVITUNZA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA

Charles James, Michuzi TV

WANANCHI wametakiwa kuvitunza na kuvithamini vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona vinavyotolewa na wadau mbalimbali nchini katika kusaidia kujikinga na ugonjwa huo.

Kauli hiyo imetolewa wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro na Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk Msuya, Dk Ombeni Msuya wakati akikabidhi mashine za kisasa za kunawia mikono kwenye Misikiti na Zahanati wilayani humo.

Taasisi hiyo ya Dk Msuya imekua ikiiunga mkono serikali katika sekta mbalimbali...

 

11 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA

 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani