MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AFUNGUKA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO, AWAITA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE UTALII
Charles James, Michuzi TV
NYUMBANI kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya. Nyumbani kwa Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro. Ndipo nyumbani pia kwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe.
Naizungumzia Wilaya ya Mwanga iliyopo Kilimanjaro. Wilaya ambayo licha ya kutawaliwa na milima mingi lakini ina miundombinu madhubuti ya barabara na nishati ya umeme pia.
Wilaya ya Mwanga licha ya kuwa na Tarafa sita lakini umaarufu wa Tarafa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMaalim Seif awavuta wawekezaji wa Ulaya kuwekeza kwenye biashara za viungo na utalii
Na: Khamis Haji, Milan...
10 years ago
Mwananchi17 Apr
‘Katavi changamkieni fursa za kiuchumi zilizopo’
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
DC KANGOYE: Vijana tumieni fursa za kiuchumi zilizopo kujiajiri
MATAIFA mengi duniani hutegemea vijana katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa. Sehemu zote yalipofanyika mageuzi ya kiuchumi, vijana walijitolea nguvu zao katika taifa husika. Vijana wengi wanaomaliza elimu ya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Utalii Tanzania, A.Kusini kukuza fursa za kiuchumi
HIVI karibuni ulifanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Utalii Cape Town Afrika Kusini na kuhudhuliwa na watu zaidi ya 360. Mkutano huo wa mwaka ulifunguliwa na Waziri wa Utalii wa...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AGAWA VIFAA VYA KUTUNZA MAZINGIRA
Bustani hiyo imejipatia umaarufu mkubwa wilayani Mwanga ambapo wananchi hufika kupiga picha hasa kwenye matukio muhimu kama Harusi, Mahafali na shughuli zingine.
Vifaa hivyo vimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva ambapo amesema...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MWANGA APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KUTOKA TAASISI YA DK MSUYA
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Wadau wataka fursa kuwekeza kwenye reli
5 years ago
MichuziWAZIRI MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI NCHINI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA USINDIKAJI WA MAZIWA
SERIKALI imezitaka Halmashauri zote nchini kuzingatia bei elekezi ya chanjo ya mifugo na atakayekaidi hatua kali za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo jijini Dodoma wakati akihitimisha wiki ya Maziwa duniani ambapo ametumia nafasi hiyo kuwataka wenye viwanda vya kusindika maziwa kuongeza uzalishaji zaidi.
Waziri Mpina ametumia nafasi hiyo pia kuiagiza Bodi ya Maziwa na Wadau wote wa maziwa...
10 years ago
CloudsFM20 Nov
ALLY KIBA AFUNGUKA MADAI YA KUTOMTUMIA R KELLY KAMA FURSA KWENYE MUZIKI WAKE
Mkali wa ngoma ya Mwana DSM, Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya One 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa barani Afrika waliteuliwa na kwenda nchini Marekani wakakaa studio moja na msanii wa kimataifa R Kelly, ambaye aliwaandikia ngoma ya Hands Across The World na Wakai Record.Ndani ya ngoma hiyo kuna sauti za wasanii kama 2face, Ali Kiba, Amani, Navio, JK, Movaizhaleine, Fally Ipupa. Project hiyo ilisimamiwa na Rock Star 4000, na Sony Music.Sasa zengwe limeibuka hivi...