Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI NCHINI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA USINDIKAJI WA MAZIWA

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imezitaka Halmashauri zote nchini kuzingatia bei elekezi ya chanjo ya mifugo na atakayekaidi hatua kali za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo jijini Dodoma wakati akihitimisha wiki ya Maziwa duniani ambapo ametumia nafasi hiyo kuwataka wenye viwanda vya kusindika maziwa kuongeza uzalishaji zaidi.

Waziri Mpina ametumia nafasi hiyo pia kuiagiza Bodi ya Maziwa na Wadau wote wa maziwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AHAMASISHA UNYWAJI MAZIWA KUCHOCHEA UJENZI WA VIWANDA NCHINI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewataka wananchi kunywa maziwa kwa wingi ili kuvutia wawekezaji kuwekeza kwenye sekta ya maziwa nchini

Naibu Waziri Ulega amesema hayo leo (23.02.2020) wakati wa mbio za kuhamasisha unywaji wa maziwa zilizofanyika viwanja vya The Greens Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Mhe. Ulega amesema kwa sasa kiwango cha unywaji maziwa kwa mtu kwa mwaka nchi Tanzania ni wastani wa lita 47 pekee.Kiwango hiki ni kidogo kwani Shirika la Afya Duniani (WHO)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawekezaji 65 kuwekeza nchini

ZAIDI ya wawekezaji 65 wanatarajiwa kuja nchini kuwekeza katika sekta mbalimbali za maendeleo ikiwemo viwanda na utalii. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alibainisha hayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasisitiza katika uzalishaji,ukusanyaji na usindikaji wa Maziwa

bahariiiii

Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Mohamed Bahari akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipotembelea kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo Serikali inasisitiza watanzania kuwekeza katika sekta ya ufugaji na uzalishaji wa maziwa ili kukuza uchumi.

director

Mkurugenzi wa kiwanda cha Maziwa cha MilkCom Dairies Ltd Yusuph Said akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo  wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif awavuta wawekezaji wa Ulaya kuwekeza kwenye biashara za viungo na utalii

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa maonyesho hayo ya Milan 2015 Bw. Bruno Antonio Pasquino mara alipowasili.Maalim Seif kwenye maonyesho ya kimataifa ya biashara Mjini Milan Italy. (Picha zote na Salmin Said, Italy)..Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia washiriki wa maonyesho hayo wakati wa kuadhimisho siku ya Tanzania kwenye maonyesho hayo mjini Milan Italy.

Na: Khamis Haji, Milan...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AFUNGUKA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO, AWAITA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE UTALII


Charles James, Michuzi TV

NYUMBANI kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya. Nyumbani kwa Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro. Ndipo nyumbani pia kwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe.

Naizungumzia Wilaya ya Mwanga iliyopo Kilimanjaro. Wilaya ambayo licha ya kutawaliwa na milima mingi lakini ina miundombinu madhubuti ya barabara na nishati ya umeme pia.

Wilaya ya Mwanga licha ya kuwa na Tarafa sita lakini umaarufu wa Tarafa...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuhamasisha wawekezaji viwanda vya pamba

SERIKALI itaendelea kuhamasisha wawekezaji binafsi kuwekeza katika viwanda vya kuchambua pamba, ili kuongeza thamani ya pamba, ajira na bei ya pamba kwa wakulima.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani