WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-vTz-F4DwlYU/Xp6DjK_HDVI/AAAAAAALnpw/V6vELiYQkOImsmA-hf2PVbGNkuojhaYFgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNM15t5Wr3111cgrGpelbNZ6I3bpYvYueE2EWA4*UorFETQrDezFgDuMvyKB8himehjSt-sUF-tbw2x3G10tTcOY/PICHANAMBA1.jpg)
WITO UMETOLEWA KWA WAMILIKI WA VIWANDA KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WANAOKUSANYA TAARIFA ZA SENSA YA VIWANDA NCHINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QgdIE_bpGeA/XtlOahKTaGI/AAAAAAALspQ/wJ3bDg_M-SwxmFfI6nwCY-n40AdAu9U8ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_9634.jpg)
WAZIRI MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI NCHINI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA USINDIKAJI WA MAZIWA
SERIKALI imezitaka Halmashauri zote nchini kuzingatia bei elekezi ya chanjo ya mifugo na atakayekaidi hatua kali za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo jijini Dodoma wakati akihitimisha wiki ya Maziwa duniani ambapo ametumia nafasi hiyo kuwataka wenye viwanda vya kusindika maziwa kuongeza uzalishaji zaidi.
Waziri Mpina ametumia nafasi hiyo pia kuiagiza Bodi ya Maziwa na Wadau wote wa maziwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sEttOvZ7IJk/VNDT1liTN0I/AAAAAAAHBS8/i2HPqANRUwA/s72-c/NBS%2B-%2B1.jpg)
WAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WA SENSA YA VIWANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sEttOvZ7IJk/VNDT1liTN0I/AAAAAAAHBS8/i2HPqANRUwA/s1600/NBS%2B-%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EYaT0z67fvY/VNDT1g4zWxI/AAAAAAAHBTA/nhgmiW-e7JA/s1600/NBS%2B-%2B2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Wamiliki wa viwanda watakiwa kutoa ushirikiano kwa wadadisi wanaokusanya taarifa za sensa ya viwanda nchini
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mkoani Dodoma kuhusu maendeleo ya zoezi la Sensa ya Viwanda linalofanyika nchini. Kushoto kwake ni Idd Mruke, Meneja Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mkoa wa Dodoma.
Meneja wa Takwimu za Biashara na Utalii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, ambaye ni Msimamizi wa Sensa ya Viwanda nchini akiwaelezea waandishi wa habari leo mkoani Dodoma kuhusu vigezo vilivyotumika...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xhRnUtWB8jWbofS4vWb3r7zEg2TmbSQYM5*ABnHakHJBpMNoGcqswUNsc9QICes5gMoLciqtqHMAEf3VoV9jru/NBS1.jpg?width=650)
MAANDALIZI SENSA YA VIWANDA YAKAMILIKA, SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTOA USHIRIKIANO
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Maandalizi sensa ya viwanda yakamilika, Serikali yawataka wadau kutoa ushirikiano
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23, 2015. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana eneo la Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es salaam.
Na Aron Sigma – MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa maandalizi ya Sensa ya Viwanda ya mwaka 2013 itakayofanyika nchi nzima kuanzia Februari 23 mwaka huu yamekamilika na kuwataka...
11 years ago
Habarileo14 May
Serikali kuhamasisha wawekezaji viwanda vya pamba
SERIKALI itaendelea kuhamasisha wawekezaji binafsi kuwekeza katika viwanda vya kuchambua pamba, ili kuongeza thamani ya pamba, ajira na bei ya pamba kwa wakulima.