Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE

5 years ago

Michuzi

WALINZI WATUHUMIWA KUHUJUMU MRADI WA UJENZI WA BARABARA MBINGA KWENDA MBAMBA BAY


Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiangalia baadhi ya makatapila ambayo yameng’olewa betri zake na kuibiwa mafunta zaidi ya lita 100 na walinzi wa Kampuni ya ulinzi ya Hamseki Ltd inayolinda vifaa vya kammpuni ya Chico inayojenga barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay wilayani Nyasa ambapo ametoa agizo kwa jeshi la polisi mkoani Ruvuma kuwasaka watu walihusika na wizi huo.

Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya lami wa kampuni ya Chico inayojenga barabara ya lami kutoka...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE WA MBINGA MJINI SIXTUS MAPUNDA 2015-2020

Jimbo la Mbinga mjini lililopo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, lina jumla ya Kata 19, na ni miongoni mwa majimbo ambayo yamebahatika kupata Wabunge Vijana. Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015, Jimbo hilo lilipahatika kumpata Mbunge Kijana anayeelezewa kuwa ni mchapakazi mahiri.

Baada ya mbunge huyo Mh. Sixtus Mapunda kukaribia kuhitimisha miaka yake ya Ubunge katika jimbo hilo, yeye na timu yake wametayarisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM sambamba na...

 

5 years ago

Michuzi

FUNDIMBANGA WILAYANI TUNDURU WAJENGEWA DARAJA LA KISASA

WAKAZI wa kijiji cha Fundimbanga kata ya Matemanga wilayani Tunduru, wameipongeza Serikali kwa kujenga daraja la kisasa litakalounganisha kijiji hicho na maeneo mengine ya wilaya ya Tunduru.

Wametoa pongezi hizo jana mbele ya Mbunge wa jimbo la Tunduru Kaskazini Ramo Makani aliyetembelea kijiji cha Fundimbanga kukagua na kuhamasisha kazi za maendeleo sambamba na kusikiliza kero za wananchi wa kijiji hicho.

Wamesema, kujengwa kwa daraja hilo kutamaliza tishio la wananchi wa kijiji hicho...

 

5 years ago

Michuzi

TUNDURU YAANZA KAMPENI YA KUWAFUATILIA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU

Mratibu wa kifua kikuu na ukoma wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt. Mkasange Kihongole katikati akiwa na Mashono Said Amir wa pili kushoto ambaye alipatwa na ugonjwa wa kifua kikuu sugu na kukimbilia shambani ili asifahamike na wataalam wa Afya akiwa na wake zake Lios Bakari kushoto na Sharifa Maneno wa pili kulia mara baada ya kurudi kutoka katika matibabu Hospitali ya Kigong'oto mkoani Kilimanjaro ambapo ndiyo Hospitali inayohudumia wagonjwa wa kifua kikuu sugu,wa kwanza kulia ni...

 

9 years ago

GPL

HUYU NDIYE RAMO MAKANI MBUNGE WA TUNDURU KASKAZINI

Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Eng Ramo Makani.

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)

Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.

 

10 years ago

Habarileo

Mabilioni yatengwa kwa umeme Mbinga

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles KitwangaJUMLA ya Sh bilioni 4.59 zinatarajiwa kutumika kupeleka umeme katika baadhi ya vijiji vilivyopo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

 

10 years ago

Vijimambo

Elimu ya awali Tunduru na changamoto zake

Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao.
WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki itakuwa ni njia moja wapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo maana wanaendelea kupaza sauti wakiitaka serikali kupitia vyombo husika kuboresha kwanza elimu ya awali kabla...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA TUNDURU WAJITOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA

 Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara  kwa  ziara ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha wananchi  kujitokeza  katika daftari  la  wapiga  kura na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Elimu ya awali Tunduru na changamoto lukuki

WADAU wa elimu Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) itatolewa katika misingi inayostahiki, itakuwa ni njia mojawapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA CHEKECHEA TUNDURU WASOMEA CHINI YA MTI

Wanafunzi wakiendelea na masomo wakiwa na mwalimu wao. WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao. Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule hiyo hivi karibuni na kuwakuta wanafunzi wakiwa wamekaa chini huku wakiendelea na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Tunduru wasomea chini ya Mti

WANAFUNZI wa darasa la awali shule ya Msingi Nakayaya wilayani hapa mkoani Ruvuma, wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum. Hali hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Partnership to Implement Participatory Forest Management (PFM) in Ruvuma Landscape

Tunduru District Commissioner Mr. Chande Bakari Nalicho officially launching a partnership to implement Participatory Forest Management - PFM among Tunduru District Council, World Wide Fund for Nature (WWF) Tanzania, Mpingo Conservation Development Initiative (MCDI)and Mtandao wa Jamii wa Usimamizi Misitu Tanzania (MJUMITA) in Tunduru on the 3rd September 2014. Members from the Tunduru District Council participating in the launching event to implement Participatory Forest Management - PFM...

 


Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani