Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabilioni yatengwa kwa umeme Mbinga

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles KitwangaJUMLA ya Sh bilioni 4.59 zinatarajiwa kutumika kupeleka umeme katika baadhi ya vijiji vilivyopo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TRIONI MOJA YATENGWA KUHAKIKISHA VIJIJI VYOTE TANZANIA NZIMA VINAPATA UMEME



 …………………………………………………………………………NA FARIDA SAIDY,MOROGORO.KATIKA kuhakikisha Huduma ya umeme inafikia vijiji vyote nchini serikali imetenga Trioni moja nchi nzima kupitia wakala wa umeme vijijini(REA)  huku Mkoa wa Morogoro ukitengewa zaidi ya Shilingi Bilioni 42.0 kwa ajili ya huduma hiyo  kwenye Vijijini 85 katika awamu ya tatu mzunguko wa kwanza na kuwa vijiji hivyo vimeshafikiwa na ifikapo Mwezi Julai mwaka huu vijiji 165 vitakuwa vimepata umeme.Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania kunufaika na uwekezaji wa mabilioni ya Marekani katika umeme

8E9U5151-702298

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu na Mtawala Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo ya Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID), Bwana Raj Shah. (Picha na Maktaba).

*Ni moja ya nchi tatu tu za Afrika zitakazonufaika kwa sasa

*India nayo italengwa na mpango huo wa sekta binafsi

*Walioubuni wasema umasikini haufutiki bila umeme wa kutosha

Tanzania ni moja ya nchi tatu tu za Afrika ambazo zitanufaika na uwekezaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

JK azindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma, Barabara ya Peramiho -Mbinga

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa jiwe la Msingi kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma leo.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Magufuli asema Wilaya ya Nyasa - Mbinga kuunganishwa kwa kwa Barabara ya Lami

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli, (Mb) amesema kuwa Serikali itajenga barabara kwa kiwango cha lami kuunganisha Wilaya ya Mbinga hadi Mbamba bay Wilaya mpya ya Nyasa itakayokuwa na urefu wa Kilometa 67.
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana alipokuwa anahutubia mamia ya Wakazi wa Nyasa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu Mbamba bay, mara baada ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kiwete kufungua Madaraja pacha ya Ruhekei A, B na C yaliyogharimu kiasi cha Tsh....

 

10 years ago

Vijimambo

Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la PeramihoJimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini. Halmashauri hii inaundwa na kata 19, vijiji 74 na vitongoji 617 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 hapa Peramiho kuna wakazi 173,821 wanaume wakiwa 86,548, wanawake 87,273 na kuna wastani wa watu wanne katika kila kaya.Peramiho ni kati ya majimbo ambayo yalikuwa na vuguvugu la mabadiliko mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, japokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini.

 

9 years ago

StarTV

Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu

Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.

Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga  Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

... Dar es salaam yatengwa

>Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini mbali na kusababisha vifo na maafa mengine, zimeutenga Mkoa wa Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi baada ya madaraja muhimu katika barabara zinazoingia kukatika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mamilioni yatengwa kuikabili dengue

Serikali imetenga zaidi ya Sh700 milioni kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Homa ya Dengue ambayo imeendelea kushika kasi huku wengine wakipoteza maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani