TRIONI MOJA YATENGWA KUHAKIKISHA VIJIJI VYOTE TANZANIA NZIMA VINAPATA UMEME
…………………………………………………………………………NA FARIDA SAIDY,MOROGORO.KATIKA kuhakikisha Huduma ya umeme inafikia vijiji vyote nchini serikali imetenga Trioni moja nchi nzima kupitia wakala wa umeme vijijini(REA) huku Mkoa wa Morogoro ukitengewa zaidi ya Shilingi Bilioni 42.0 kwa ajili ya huduma hiyo kwenye Vijijini 85 katika awamu ya tatu mzunguko wa kwanza na kuwa vijiji hivyo vimeshafikiwa na ifikapo Mwezi Julai mwaka huu vijiji 165 vitakuwa vimepata umeme.Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dPxXEqgRxqk/XvGe7r42UQI/AAAAAAALvBo/YnAvJ_xXxr0MQbdb4zGioy4M2AUz95tIgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-23%2Bat%2B9.07.18%2BAM.jpeg)
TRIONI MOJA YA TENGWA KUHAKIKISHA VIJIJI VYOTE TANZANIA NZIMA VINAPATA UMEME.
NA FARIDA SAIDY,MOROGORO.
KATIKA kuhakikisha Huduma ya umeme inafikia vijijini vyote nchini serikali imetenga Trioni moja nchi nzima kupitia wakala wa umeme vijijini(REA) nchini huku Mkoa wa Morogoro ukitengewa zaidi ya Shilingi Biioni 42.0 kwa ajili ya huduma hiyo ya umeme kwenye Vijijini 85 katika awamu ya tatu mzunguko wa kwanza na kwamba vijiji hivyo vimeshafikiwa na huduma hiyo na kwamba huduma hiyo itafikia vimeshafikia vijiji vyote mia moja sitini na tano ifikapo mwezi...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s72-c/IMG_0077.jpg)
Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani
![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s640/IMG_0077.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TnZStOx6i40/VgN7_LIt7AI/AAAAAAAAEHo/QP53ldCHiHU/s640/IMG_0126.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xIto0wTqyME/VgN6e6Yb5II/AAAAAAAAEG0/tBZDFfmfhGg/s640/IMG_0046.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-o4wy1Dcgyac/XvIUIAwkvXI/AAAAAAALvFs/0g-8CwL5KMYmWhkTP429keJNFul0yE1jACLcBGAsYHQ/s72-c/35dd225a-a3ed-48ea-b1ca-5d6cf2932284.jpg)
VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-o4wy1Dcgyac/XvIUIAwkvXI/AAAAAAALvFs/0g-8CwL5KMYmWhkTP429keJNFul0yE1jACLcBGAsYHQ/s640/35dd225a-a3ed-48ea-b1ca-5d6cf2932284.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Nanjaru, Bakari Chuwa (kulia) wakati alipotembelea ghala la chama hicho akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/7236e84f-b598-4815-84c2-d34bb0328476.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa kwa nyimbo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Nanjaru akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d5657ce9-73c7-40af-a0d0-ce1343f634f5.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama magunia...
10 years ago
Habarileo11 Nov
Mabilioni yatengwa kwa umeme Mbinga
JUMLA ya Sh bilioni 4.59 zinatarajiwa kutumika kupeleka umeme katika baadhi ya vijiji vilivyopo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
10 years ago
VijimamboTanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme
10 years ago
Habarileo25 Dec
Vijiji 45 kupata umeme Mara
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Vijiji nane kupatiwa umeme
VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Vijiji 20 Mbozi kupata umeme
ZAIDI ya vijiji 20 Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, vitapata umeme kupitia mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utakaoanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Juni mwakani,...
10 years ago
Habarileo09 Apr
Vijiji 93 Njombe na Iringa kufaidi umeme
WATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mikoa ya Iringa na Njombe wanatarajia kuongezeka kutoka 63,300 wa sasa hadi zaidi ya 93,000 ifikapo mwaka 2017.