Tanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme
Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco wakati wa warsha ya siku moja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.
Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Usambazaji na Huduma kwa wateja kutoka Tanesco, Mhandisi Sophia Mgonja(mwenye nguo ya rangi nyekundu)...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Oct
Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja
SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Cxd6Ymt_sYs/VMywkVF5c2I/AAAAAAAHAgA/09DW3oEOhus/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-Cxd6Ymt_sYs/VMywkVF5c2I/AAAAAAAHAgA/09DW3oEOhus/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3a417g2wFyw/VMywc-Ek_yI/AAAAAAAHAf4/nRPrFqscG4A/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rBtvKRurUGI/VMywoulaVMI/AAAAAAAHAgU/rxnhJgCeMmg/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
10 years ago
MichuziSIKU YA PILI YA WARSHA YA WADAU JUU YA MIPANGO YA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIA NCHI
10 years ago
Habarileo19 Jan
Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Tanesco yatangaza mgawo wa umeme wa siku tisa
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
TANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu mfululizo
Na Mwandishi wetu
Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa.
Wananchi mbalimbali wakielezea, walisema hawakupata taarifa yoyote ile toka Tanesco na mpaka sasa wengi wao wamepata hasara kubwa kibiashara kutokana na tatizo ili na upande...
10 years ago
MichuziWaziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua
10 years ago
VijimamboWARSHA YA MFUMO MPYA WA KIELECTRONIKI WA USAMBAZAJI WA DAWA WAFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
Michuzi23 Feb