Waziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua
Na Teresia Mhagama Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kuipa vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu vitakavyotekelezwa na Bodi hiyo kabla ya kufikia ukomo wake mnamo mwaka 2017. Uzinduzi wa Bodi hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Ulihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWaziri wa Nishati na Madini azindua Bodi mpya ya Tanesco
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI
10 years ago
Habarileo06 Oct
Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja
SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.
10 years ago
Habarileo19 Jan
Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.
11 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI KUWA MGENI RASMI SIKU YA WANATAALUMA UJERUMANI
Profesa Muhongo atatoa mada hiyo ya fursa za uwekezaji nchini ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa kufanyika katika siku mbili za kongamano la uwekezaji litakalofanyika katika mji wa Berlin, nchini humo mnamo tarehe 25 na 26 Aprili...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE, Awataka TANESCO kufanya kazi
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI
10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-2TdsXVCxyBM/VKLEoGpQUWI/AAAAAAADK_Q/fLIBFnrqdds/s1600/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI