WAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI
Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima (katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene. Kushoto kabisa ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage (kulia) akitoa maelekezo kwa wataalamu wanaosimamia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI NISHATI AZINDUA MRADI WA UMEME JUA NANJIRINJI
9 years ago
StarTV23 Dec
Naibu Waziri wa Nishati na Madini amuonya Mkandarasi anayejenga miundombinu ya Umeme Dar, Kilimanjaro, Arusha
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani amemtaka mkandarasi anayejenga miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Arusha kukamilisha miradi hiyo ifikapo Februari 20, 2016.
Naibu Waziri ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea miradi hiyo iliyopo katika maeneo ya Mbagala, Kurasini na Gongo la Mboto jijini Dar es salaam na kugundua kuwa imeshindwa kukamilika kwa wakati uliokusudiwa.
Hali ya kutokamilika kwa miradi hiyo Imemsukuma...
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFUNGUA RASMI SEMINA YA WACHIMBAJI WADOGO KIBARA, MKOANI MARA
10 years ago
MichuziWaziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele afungua rasmi semina ya wachimbaji wadogo Kibara mkoani Mara
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara. Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa sheria na kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mhe. Kangi Lugora. Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe.
Naibu Waziri wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hhEl_dmDCk0/VTDwco11jSI/AAAAAAAHRo4/0sfLT5wr9cI/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
WAZIRI CHIZA AKUTANA NA KAMPUNI YA UJENZI MRADI WA KUZALISHA UMEME KINYEREZI III
![](http://1.bp.blogspot.com/-hhEl_dmDCk0/VTDwco11jSI/AAAAAAAHRo4/0sfLT5wr9cI/s1600/unnamed%2B(64).jpg)
9 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KWENYE KITUO CHA KUZALISHA UMEME KWA NGUVU YA MAJI, MTERA
Akielezea hali halisi aliyoiona kituoni hapo, Profesa Muhongo alisema kwa wakati huu kituo hicho cha Mtera hakizalishi umeme wa kiasi chochote huku akitaja sababu kuwa ni upungufu wa maji uliosababishwa na matumizi mabaya ya maji ya Bwawa hilo.
Profesa Muhongo alisema njia bora ya utatuzi wa upungufu wa maji kwenye bwawa hilo...