WAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI
Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Simon Jilima (katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I kwa Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (wapili kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo anaeshughulikia Nishati, Charles Mwijage (kulia), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava (kushoto) walipotembelea mradi huo jana baada ya kuanza kazi.Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Dk. James Mataragio...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFUNGUA RASMI SEMINA YA WACHIMBAJI WADOGO KIBARA, MKOANI MARA
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele afungua rasmi semina ya wachimbaji wadogo Kibara mkoani Mara
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara. Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa sheria na kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mhe. Kangi Lugora. Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe.
Naibu Waziri wa...
10 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Nishati na Madini atembelea mgodi wa dhahabu bulyanhulu
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI CHARLES KITWANGA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI
10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO
Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA MAGHARIBI KIM HAMES AFANYA ZIARA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
9 years ago
StarTV23 Dec
Naibu Waziri wa Nishati na Madini amuonya Mkandarasi anayejenga miundombinu ya Umeme Dar, Kilimanjaro, Arusha
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani amemtaka mkandarasi anayejenga miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Arusha kukamilisha miradi hiyo ifikapo Februari 20, 2016.
Naibu Waziri ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea miradi hiyo iliyopo katika maeneo ya Mbagala, Kurasini na Gongo la Mboto jijini Dar es salaam na kugundua kuwa imeshindwa kukamilika kwa wakati uliokusudiwa.
Hali ya kutokamilika kwa miradi hiyo Imemsukuma...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10