Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja
SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Jan
Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.
10 years ago
MichuziWaziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua
10 years ago
VijimamboTanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Tanesco yatangaza mgawo wa umeme wa siku tisa
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
TANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu mfululizo
Na Mwandishi wetu
Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa.
Wananchi mbalimbali wakielezea, walisema hawakupata taarifa yoyote ile toka Tanesco na mpaka sasa wengi wao wamepata hasara kubwa kibiashara kutokana na tatizo ili na upande...
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Matapeli wa kuunganisha umeme waibuka
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limewataka wananchi kuwa makini na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu ambao wanawarubuni wanaotaka kufungiwa umeme katika makazi yao kwa kuwadanganya kwamba wanaweza kuwasaidia kwa...
10 years ago
Habarileo25 Aug
Tanesco waagizwa kupeleka madaraka chini
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuanzisha mfumo wa kupeleka madaraka ngazi ya chini.
9 years ago
Habarileo30 Nov
Tanesco waagizwa kutunza maji Mtera
KATIBU Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Omar Chambo amewataka wataalamu wa Shirika la Umeme (Tanesco) kuhakikisha maji yanayoingia katika bwawa la uzalishaji umeme la Mtera yanatunzwa katika kipindi chote cha mwaka ili kuzalisha umeme kwa mwaka mzima.