Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco yatangaza mgawo wa umeme wa siku tisa

>Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza mgawo wa umeme kwa siku tisa katika baadhi ya maeneo kutokana na upungufu wa nishati hiyo katika Gridi ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco; matrilioni kumaliza mgawo wa umeme nchini

Wananchi kwa muda mrefu wamekuwa wakiteseka na wakati mwingine kupata hasira kutokana na kutopata umeme wa uhakika tangu miaka ya 1980. Wakati mwingine wanapata hasira baada ya vyombo vyao kuungua kwa mfano, friji, redio na televisheni kutokana na umeme kukatika na kurejea kwa kasi .

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja

SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.

 

10 years ago

Vijimambo

Tanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme

 Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco wakati wa warsha ya siku moja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere. Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Usambazaji na Huduma kwa wateja kutoka Tanesco, Mhandisi Sophia Mgonja(mwenye nguo ya rangi nyekundu)...

 

10 years ago

Dewji Blog

TANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu mfululizo

tanesco

Na Mwandishi wetu

Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa.

Wananchi mbalimbali wakielezea, walisema hawakupata taarifa yoyote ile toka Tanesco na mpaka sasa wengi wao wamepata hasara kubwa kibiashara kutokana na tatizo ili na upande...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua

Na Teresia Mhagama Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kuipa vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu vitakavyotekelezwa na Bodi hiyo kabla ya kufikia ukomo wake mnamo mwaka 2017. Uzinduzi wa Bodi hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Ulihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LG yakabili mgawo wa umeme

KATIKA kukabiliana na tatizo la mgawo wa umeme nchini Tanzania, Kampuni ya vifaa vya umeme ya  LG imetengeneza friji ya ‘ever cool’ yenye uwezo wa kuhifadhi baridi kwa saa 10....

 

10 years ago

Mwananchi

Ngeleja: Sitasahau mgawo wa umeme

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema mgawo wa umeme ulioikumba nchi wakati wa uongozi wake ulimpa wakati mgumu na kufanya akose usingizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani