Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngeleja: Sitasahau mgawo wa umeme

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema mgawo wa umeme ulioikumba nchi wakati wa uongozi wake ulimpa wakati mgumu na kufanya akose usingizi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

LG yakabili mgawo wa umeme

KATIKA kukabiliana na tatizo la mgawo wa umeme nchini Tanzania, Kampuni ya vifaa vya umeme ya  LG imetengeneza friji ya ‘ever cool’ yenye uwezo wa kuhifadhi baridi kwa saa 10....

 

10 years ago

Vijimambo

Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.

Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, jana alipanda ‘kizimbani’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kujibu malalamiko dhidi yake ya kupokea zaidi ya Sh. milioni 40.4 kutoka kwa mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira, kinyume cha sheria ya maadili na kuliomba baraza hilo kwamba, iwapo litatumia rungu lake kutoa mwongozo wa adhabu, lisianzie kwake, kwani kitendo alichokifanya hufanywa pia na wabunge wengine.

Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...

 

9 years ago

GPL

SIRI YA MGAWO WA UMEME HII HAPA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba. Wakati watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa wakilishutumu Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kutokana na hali mbaya ya kukatika ovyo kwa umeme, imebainika kuwa chanzo cha tatizo hilo ni uzalishaji duni wa nishati hiyo katika mabwawa na vyanzo vingine vyote vinavyotegemewa na shirika hilo. Kadhalika, imeelezwa kuwa maamuzi mbalimbali ya kisiasa ndiyo yanayochangia kwa kiasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco; matrilioni kumaliza mgawo wa umeme nchini

Wananchi kwa muda mrefu wamekuwa wakiteseka na wakati mwingine kupata hasira kutokana na kutopata umeme wa uhakika tangu miaka ya 1980. Wakati mwingine wanapata hasira baada ya vyombo vyao kuungua kwa mfano, friji, redio na televisheni kutokana na umeme kukatika na kurejea kwa kasi .

 

10 years ago

Mwananchi

Tanesco yatangaza mgawo wa umeme wa siku tisa

>Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza mgawo wa umeme kwa siku tisa katika baadhi ya maeneo kutokana na upungufu wa nishati hiyo katika Gridi ya Taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki nchini kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo nchini kukumbwa na ukame.

 

10 years ago

Michuzi

Tatizo la mgawo wa umeme Arusha kumalizika Juni

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum Jimbo la Singida, Martha Mlata (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Dkt. Miganda Manyahi (kulia), jijini Arusha kabla ya kuanza kwa ziara kwenye miradi ya umeme. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini inafanya ziara katika miradi ya umeme iliyopo katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ili kujionea hatua ya utekelezwaji wake pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Sitasahau mambo matano

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema katika kipindi cha miaka 10 alichoshikilia nafasi hiyo ya mtendaji mkuu wa Serikali, hatasahau mambo matano makubwa aliyokumbana nayo.

 

10 years ago

GPL

DAVINA: SITASAHAU MATESO YA SEGEREA

Na Laurent Samatta/Uwazi
NGULI wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’, amesema kamwe hatokuja kusahau mateso aliyowahi kuyapata akiwa Gereza la Segerea ambapo alikaa kwa siku tatu. Nguli wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’. Akipiga stori na Uwazi, Davina alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo ilikuwa ni tatizo la kifamilia lililosababisha kutupiwa huko japokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani