Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAVINA: SITASAHAU MATESO YA SEGEREA

Na Laurent Samatta/Uwazi
NGULI wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’, amesema kamwe hatokuja kusahau mateso aliyowahi kuyapata akiwa Gereza la Segerea ambapo alikaa kwa siku tatu. Nguli wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’. Akipiga stori na Uwazi, Davina alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo ilikuwa ni tatizo la kifamilia lililosababisha kutupiwa huko japokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi

Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.

Gazeti hilo limedai kuwa Davina  alisema kuwa  anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.

Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...

 

11 years ago

GPL

MATESO JUU YA MATESO

Stori: Erick Evarist na Mitandao Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa kukamatwa tena hivyo kumuongezea mateso juu ya mateso. Meriam Ibrahim, raia wa Sudan akiwa na mume wake (Daniel Wani ) ambaye ni mkristo.
Mwanamke huyo aliachiwa huru Jumatatu...

 

10 years ago

Mwananchi

Ngeleja: Sitasahau mgawo wa umeme

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema mgawo wa umeme ulioikumba nchi wakati wa uongozi wake ulimpa wakati mgumu na kufanya akose usingizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Sitasahau mambo matano

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema katika kipindi cha miaka 10 alichoshikilia nafasi hiyo ya mtendaji mkuu wa Serikali, hatasahau mambo matano makubwa aliyokumbana nayo.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Sitasahau tukio la moto wa Mbeya’

Oktoba ya kila mwaka ni mwezi ambao Wakazi wa Idweli wilayani Rungwe wanaukumbuka tukio la kutisha lililowahi kutokea mwanzoni mwa miaka 2000 na kuweka historia mbaya katika maisha yao.

 

10 years ago

Vijimambo

Ali Ameir: Sitasahau mauaji ya Mwembechai

Asema alipata wakati mgumu akitishiwa itikafuWaziri wa zamani wa Mambo ya Ndani katika serikali ya awamu ya tatu, Ali Ameir Mohamed, amesema hatasahau vurugu za Mwembechai zilizohusisha Jeshi la Polisi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu mwaka 1998 kwani ndiyo mgogoro mkubwa uliotokea chini ya uongozi wake wakati akiwa mtumishi wa umma.

Akizungumza katika mahojiano maalum na NIPASHE nyumbani kwake Donge Kichavyani, katika Shehia ya Mbiji, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja,...

 

10 years ago

GPL

SLIM:SITASAHAU WAKWE WALIVYONIACHANISHA NA MKE WANGU!

KAMA ilivyo kawaida ya safu hii ya Kiti cha Moto, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa sinema za Kibongo, Salumu Mbegu ‘Slim’ ambapo mlituma maswali kibao ambayo wiki hii anayajibu na kuyadadavua. UNGANA NAYE… Salumu Mbegu ‘Slim’. WANAYE
Nakupongeza sana kwa kazi yako, watoto wako wanaitwa nani na nani? Zakia Ramadhani, Singida, 0762155709
SLIM: Asante, watoto wangu ni Shufaa na Sakina....

 

10 years ago

Mwananchi

Juma Rashid: Sitasahau nilivyohujumiwa elimu yangu

Kila siku asubuhi mapema, hufika kijiweni kwake eneo la Tabata Relini, Dar es Salaam. Akifika anasubiri mteja anayekodi usafiri wake wa guta kwa ajili ya kubeba mizigo. Ni Juma Rashid kijana mwenye historia inayosikitisha.

 

11 years ago

Mwananchi

REKODI: Minziro: Sitasahau kipigo cha Simba

>Kocha wa JKT Ruvu, Fred Felix Minziro amesema katika maisha yake ya ukocha hatasahau kipigo cha mabao 5-0 walichokipata  Yanga kutoka kwa Simba, msimu wa 2011/2012.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani