Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Sitasahau tukio la moto wa Mbeya’

Oktoba ya kila mwaka ni mwezi ambao Wakazi wa Idweli wilayani Rungwe wanaukumbuka tukio la kutisha lililowahi kutokea mwanzoni mwa miaka 2000 na kuweka historia mbaya katika maisha yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Fahamu kiundani tukio la Familia kuteketea kwa moto Dar

Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya

Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya Buguruni Malapa .

 Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam, mashuhuda wamethibitisha.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.

Mashuhuda wa tukio hilo wameliambia Mwanannchi Digital kuwa baba wa familia hiyo amenusurika kwa kuwa hakuwepo nyumbani, na kwamba...

 

10 years ago

GPL

TUKIO LA MOTO MBAGALA: WATATU WAFARIKI, SITA HOI MUHIMBILI

Mmoja wa majeruhi katika tukio hilo la moto akisimulia.
Baadhi ya sehemu za mwili za watu walioungua.…

 

9 years ago

MillardAyo

Kilichonifikia kuhusu tukio la kuzuka moto Wizara ya Mambo ya ndani Dar leo.. (Pichaz)

Huenda umekutana na stori mitandaoni au picha kuhusu tukio la ajali ya moto katika jengo la Wizara ya Mambo ya ndani, posta Dar es Salaam. Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Advera Senzo Bulimba amesema ni kweli kulitokea cheche za moto katika jengo hilo katika ghorofa ya nne, taarifa zikatolewa kwa vikosi vya zimamoto […]

The post Kilichonifikia kuhusu tukio la kuzuka moto Wizara ya Mambo ya ndani Dar leo.. (Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

UFAFANUZI WA TUKIO LA KUANGUKA KWA JUKWAA LA JENGO LA NHFI MKOANI MBEYA

nh1 Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akifafanua jambo wakati akizungumza waandishi wa habari kuhusu kuvunjika kwa uzio wa jengo la mfuko huo linalojengwa mkoani Mbeya kutokana na kukumbwa na mvua na upepo mkali, amesema jengo hilo liko salama kabisa ila uzio unaosaidia kuwakinga wajenzi ndiyo ulioanguka kutokana na upepo huokulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF,Bw Rehani Athuman. nh2Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akifafanua jambo wakati...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ufafanuzi wa tukio la kuanguka kwa jukwaa la jengo la NHFI Mkoani Mbeya

nh1

Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akifafanua jambo wakati akizungumza waandishi wa habari kuhusu kuvunjika kwa uzio wa jengo la mfuko huo linalojengwa mkoani Mbeya kutokana na kukumbwa na mvua na upepo mkali, amesema jengo hilo liko salama kabisa ila uzio unaosaidia kuwakinga wajenzi ndiyo ulioanguka kutokana na upepo huokulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF,Bw Rehani Athuman.

nh2

Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akifafanua jambo wakati akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa tuhuma za kumuua ERASTO MWALWEGO [29] Dereva Pikipiki @ Bodaboda na Mkazi wa Nzovwe.
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Moto Bendi kuvamia Mbeya Sept. 12

BAADA ya kufanya shoo kadhaa jijini Dar es salaam, bendi inayokuja kwa kasi hapa nchini, Yamoto Band, wanatarajia kutoa burudani ya aina yake, jijini Mbeya Septemba 12 katika Ukumbi wa...

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA YAWAKA MOTO JIJINI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo,kutokana na hitilafu ya umeme iliyojitokeza.haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhulia kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa leo jijini humo. Sehemu ya mali zilizokuwemo kwenye nyumba hiyo zikiwa zimeteketea zote kwa moto huo. Majirani wakiangali kupitia dirishani kuona namna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani