Ya Moto Bendi kuvamia Mbeya Sept. 12
BAADA ya kufanya shoo kadhaa jijini Dar es salaam, bendi inayokuja kwa kasi hapa nchini, Yamoto Band, wanatarajia kutoa burudani ya aina yake, jijini Mbeya Septemba 12 katika Ukumbi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/MG_1128.jpg)
BENDI MPYA YA VIJANA WANNE, RUBY BENDI WATINGA GLOBAL TV ONLINE
Waimbaji wa Ruby Bendi wakiwa katika pozi baada ya kufanya mahojiano na Global TV Online kutoka kushoto ni Suma Luvi, Smaina, Kwea Pia na Maya. (PICHA: GLOBAL TV ONLINE)
10 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Sitasahau tukio la moto wa Mbeya’
Oktoba ya kila mwaka ni mwezi ambao Wakazi wa Idweli wilayani Rungwe wanaukumbuka tukio la kutisha lililowahi kutokea mwanzoni mwa miaka 2000 na kuweka historia mbaya katika maisha yao.
11 years ago
MichuziNYUMBA YAWAKA MOTO JIJINI MBEYA
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Athari za moto masoko ya Mbeya bado zipo
Kwa kipindi cha miaka 10, Jiji la Mbeya liliunguliwa na masoko manne makubwa na maarufu, likiwamo la Mwanjelwa ambalo lilikuwa na wafanyabiashara karibu 9,00.
11 years ago
GPLNYUMBA YATEKETEA KWA MOTO JIJINI MBEYA
Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo, kutokana na kinachosadikiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Bado haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhurika kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa jana jijini humo.…
...
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Wauzaji mbolea Mbeya wakiona cha moto
Kampuni tatu zinazouza mbolea jijini hapa, juzi zilitishiwa kufungiwa maduka yao na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) baada ya kuvunja sheria za mauzo.
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Sugu: Meya ajaye atakuwa ‘moto’ Mbeya
Mbunge mteule wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema chama hicho kitahakikisha kinampata meya mpya mwenye uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo inayopangwa kila mwaka.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya
Watoto wawili wa familia moja wameteketea kwa moto huku mama yao akiungua sehemu kubwa ya mwili wake baada ya chumba walichokuwa wamelala kuungua kwa moto katika Mtaa wa Itiji jijini hapa usiku wa kuamkia leo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania