Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU- Ughaibuni inatategemewa kufanya onyesho maalumu katika Grande VIPsiku ya jumamosi 12 Septemba 2015,kule katika kisiwa cha mabwanyenye Marbella,kilichopo Spain. bendi hiyo imealikwa na VIP Yatch Club ya Marbella.Usikose kuungana nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI JUMAMOSI 5 SEPT 2015

 Ngoma Africa band Ngoma Africa Band aka FFU katika gwaride jukwaani nchini Latvia
KWA P[ICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Vijimambo

LEO JUMAMOSI 5 SEPT 2015 NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni ukipenda waiite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien's yenye makao kule Ujerumani inatarajiwa kutingisha jukwaa katika maonyesho ya Vechelde Festival nchini Ujerumani Jumamosi 5. September 2015 saa 2:00 Usiku katika eneo la :Bürgerzentrum Vechelde liliopo mtaa Hildesheimer Straße 5 mjini Vechelde jirani mji wa Braunschweig,Ujerumani.Bendi hiyo maarufu Ngoma Africa yenye sifa za kuwatia kiwewe washabiki wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MJINI LIGA ,NCHINI LATIVIA 1 AGOSTI 2015

Habari zimevuja kuwa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja yenye makao yake kule Ujerumani
inatarajiwa kulitingisha jukwaa la Summer Festival mjini Liga,nchini Lativia siku ya 1 Agosti 2015,
kwa mara ya kwanza washabiki wa muziki wa dansi nchini Lativia watavaana uso kwa uso na mzimu wa muziki wa dansi wa kiafrika Ngoma Africa Band aka FFU.

wasikilize FFU-Ughaibuni at www.reverbnation.com/ngomaafricaband pia at...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE Katika Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015 MJINI STUTTGART, UJERUMANI

The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni
Bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho hilo limeandaliwa na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na  shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu kama " Extraordinary Bongo...

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA MJINI BREMEN,UJERUMANI JUMAMOSI 30 MAY 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band almaarufu kama FFU-Ughaibuni yenye maskani yeke nchini Ujerumani,siku ya jumamosi 30 Mei 2015 bendi hiyo italitingisha hekalu la Uebersee Museum mjini Bremen,kuanzia Saa moja Usiku hadi kumekucha. Onyesho hilo la usiku usiokwisha limeandaliwa na utawala wa hekalu hilo la makumbusho la Uebersee Museum,ambapo utawala huo umeiomba bendi ya Ngoma Africa band kwenda kutumbuiza,kwa kuwa bendi hiyo ilitumbuiza mwaka 2013 na  kuvunja...

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND JUKWAANI MJINI BREMEN,UJERUMANI JUMAMOSI 7 NOV 2015



Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani ,itatumbuiza mjini Bremen,Ujerumani.
siku ya jumamosi 7 November 2015,katika ukumbi wa Weserterrasse, uliopomtaa wa Osterdeich 70b, D- 28205 Bremen kuanzia saa usiku, onyesho hilo limeandaliwa na Pan-African Org tawi la Bremen ambalo linasherekea miaka 10 ya kuanziswa kwake.
Bendi ya Ngoma Africa band kwa sasa wanatamba na CD yao mpya La Mgambo na pia song lao jipya waliloliachia juzi...

 

9 years ago

Michuzi

JUMAMOSI 7 NOV 2015 ! NGOMA AFRICA BAND JUKWAANI MJINI BREMEN.UJERUMANI

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani ,itatumbuiza mjini Bremen,UjerumaniLeo  jumamosi 7 November 2015,katika ukumbi wa Weserterrasse, uliopomtaa wa Osterdeich 70b, D- 28205 Bremen kuanzia saa usiku, onyesho hilo limeandaliwa na Pan-African Org tawi la Bremen ambalo linasherekea miaka 10 ya kuanziswa kwake. bendi ya Ngoma Africa band kwa sasa wanatamba na CD yao mpya La Mgambo na pia song lao jipya waliloliachia juzi...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA INTERN.AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN ,JUMAMOSI 25 JULAI 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutingisha jukwaa lamaonyesho makubwa ya muziki na utamaduni barani ulaya 6th International African Festival in Tübingen, Ujerumani,bendi hiyo maarufu inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja  itapanda jukwaani siku ya Jumamosi 27 Julai 2015 majira saa 2.00 Usiku katikauwanja wa Festplatz,Europa str,mjini Tübingen ,uliopo Ujerumani ya Kusini. Kikosi kazi hiko cha Ngoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani