JUMAMOSI 7 NOV 2015 ! NGOMA AFRICA BAND JUKWAANI MJINI BREMEN.UJERUMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-IyR2GMnibkk/Vj0Sd-YZSoI/AAAAAAAIEwo/J6j0_Dkl-pQ/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani ,itatumbuiza mjini Bremen,UjerumaniLeo jumamosi 7 November 2015,katika ukumbi wa Weserterrasse, uliopomtaa wa Osterdeich 70b, D- 28205 Bremen kuanzia saa usiku, onyesho hilo limeandaliwa na Pan-African Org tawi la Bremen ambalo linasherekea miaka 10 ya kuanziswa kwake. bendi ya Ngoma Africa band kwa sasa wanatamba na CD yao mpya La Mgambo na pia song lao jipya waliloliachia juzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND JUKWAANI MJINI BREMEN,UJERUMANI JUMAMOSI 7 NOV 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-sXWAVs8hq88/VjoC3Vvkh3I/AAAAAAAIEHI/Cy5PdB9ynf4/s640/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2Bin%2BGermany.jpg)
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani ,itatumbuiza mjini Bremen,Ujerumani.
siku ya jumamosi 7 November 2015,katika ukumbi wa Weserterrasse, uliopomtaa wa Osterdeich 70b, D- 28205 Bremen kuanzia saa usiku, onyesho hilo limeandaliwa na Pan-African Org tawi la Bremen ambalo linasherekea miaka 10 ya kuanziswa kwake.
Bendi ya Ngoma Africa band kwa sasa wanatamba na CD yao mpya La Mgambo na pia song lao jipya waliloliachia juzi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-uLRQvAmGvJQ/VWPeV2ywMYI/AAAAAAADor0/tlIJ2NAKgSc/s72-c/Afande%2BChris-B%2BSoloist%2Bwa%2BNgoma%2BAfrica%2Bna%2Bmtutu%2Bwake.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA MJINI BREMEN,UJERUMANI JUMAMOSI 30 MAY 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-uLRQvAmGvJQ/VWPeV2ywMYI/AAAAAAADor0/tlIJ2NAKgSc/s640/Afande%2BChris-B%2BSoloist%2Bwa%2BNgoma%2BAfrica%2Bna%2Bmtutu%2Bwake.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D2cu_3Uv5A4/VQN3cjSoyWI/AAAAAAAHKLg/NRljhGkWhjA/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE Katika Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015 MJINI STUTTGART, UJERUMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-D2cu_3Uv5A4/VQN3cjSoyWI/AAAAAAAHKLg/NRljhGkWhjA/s1600/Ngoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
Bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho hilo limeandaliwa na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu kama " Extraordinary Bongo...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MjHu0X3ZgaI/VeQw3RO3B3I/AAAAAAAH1OA/2K8stGd2gHw/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2Bband%2B%25281%2529.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI JUMAMOSI 5 SEPT 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-MjHu0X3ZgaI/VeQw3RO3B3I/AAAAAAAH1OA/2K8stGd2gHw/s640/Ngoma%2BAfrica%2Bband%2B%25281%2529.jpg)
KWA P[ICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YGKOwdLROJA/VWymI25YWqI/AAAAAAADpyg/2H_hpBjSe2A/s72-c/Kikosi%2Bkazi%2BNgoma%2BAfrica%2Bband%2Bwakiwajibika%2Bughaibuni.jpg)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU WALIFUNIKA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YGKOwdLROJA/VWymI25YWqI/AAAAAAADpyg/2H_hpBjSe2A/s640/Kikosi%2Bkazi%2BNgoma%2BAfrica%2Bband%2Bwakiwajibika%2Bughaibuni.jpg)
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanazidi kudatisha ughaibuni !
Katika onyesho lao ndani ya hekalu la Uebersee Museum mjini Bremen,ujerumani usiku wa jumamosi 30 Mei 2015 bendi imeonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa inakubalika katika hadi katika mahekalu ya kutisha,Kikosi kazi hiko maarufu kwa muziki wa dansi barani ulaya
kinachoongozwa na mwanamuziki kamanda Ras Makunja,kikiwa
na wanamuziki waliojaa vipaji akiwemo yule mcharaza...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-xAB6qvkyIMY/Vereh5zSytI/AAAAAAAD6KM/HloQVS68OVA/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2BOn%2BAction%2Bin%2BGermany.jpg)
LEO JUMAMOSI 5 SEPT 2015 NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-xAB6qvkyIMY/Vereh5zSytI/AAAAAAAD6KM/HloQVS68OVA/s640/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2BOn%2BAction%2Bin%2BGermany.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wJE9ACzazIM/U5nnrBPaf6I/AAAAAAAFqJ8/l4wISYFSEDU/s72-c/unnamed.png)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU KUKAMUA TENA JUKWAANI JUMAMOSI 14 Juni 2014 katika DIETZEN FESTIVAL ,JIRANI NA FRANKFURT
![](http://1.bp.blogspot.com/-wJE9ACzazIM/U5nnrBPaf6I/AAAAAAAFqJ8/l4wISYFSEDU/s1600/unnamed.png)
9 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015