NGOMA AFRICA BAND AKA FFU KUKAMUA TENA JUKWAANI JUMAMOSI 14 Juni 2014 katika DIETZEN FESTIVAL ,JIRANI NA FRANKFURT

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU ughaibuni wanatarajiwa kutingisha jukwaa tena katika onyesho kubwa la DIETZEN FESTIVAL,litakalofanyika siku ya jumamosi 14 Juni 2014 katika anuani Schwimmbad Freibad Waldschwimmbad Dietzenbach, Offenthaler Straße 85, 63128 Dietzenbach, jirani na Frankfurt,huko Ujeurimani,Muziki wa ngoma africa unafananishwa sawa na gwaride la FFU na wapenzi wa bendi hiyo.
Wasilikilize FFU Ughaibuni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI


10 years ago
Vijimambo
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI


10 years ago
VijimamboMKONO WA EID AL HAJJ KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU
10 years ago
Vijimambo
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU WALIFUNIKA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanazidi kudatisha ughaibuni !
Katika onyesho lao ndani ya hekalu la Uebersee Museum mjini Bremen,ujerumani usiku wa jumamosi 30 Mei 2015 bendi imeonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa inakubalika katika hadi katika mahekalu ya kutisha,Kikosi kazi hiko maarufu kwa muziki wa dansi barani ulaya
kinachoongozwa na mwanamuziki kamanda Ras Makunja,kikiwa
na wanamuziki waliojaa vipaji akiwemo yule mcharaza...
10 years ago
Michuzi
MKONO WA EID MUBARAK KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU UGHAIBUNI

usikose kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband
11 years ago
Michuzi.jpg)
CD mpya "Bongo Tambarare" ya Ngoma Africa Band aka FFU ndani ya Ethopia !
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
SALAMU ZA HERI YA MEI MOSI ,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

TUZIDISHE JUHUDI KAZINI ! KAZI NI KAZI
Sherehekea MEI MOSI kwa muziki at www.ngoma-africa.com
10 years ago
Michuzi
Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni walipoliweka jiji la Stuttgart chini yao
Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zake

9 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU WAKIENDELEA KUDATISHA UGHAIBUNI WAFANYA KWELI JIJINI BREMEN
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja juzi jumamosi ya 7 November 2015 walifanikiwa tena kwa mara nyingine kukonga nyoyo za washabiki mjini Bremen Ujerumani katika onyesho la kusherekea miaka 10 ya Pan African Organisation lililofanyika katika ukumbi wa Bugerhaus Weserterasse.Kikosi kazi kazi hiko cha FFU-ughaibuni kikiwa na madansa wao wawili Jessicha Ouyah na Sara Fina waliweza kulimudu jukwaa na kuwadatisha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania