NGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-tm5SmR5WAD0/Ve3q_IjcL9I/AAAAAAAD6qE/R3VCbVKM-So/s72-c/baadhi%2Bya%2Bwaimbaji%2Bwa%2BFFU%2Bpembeni%2Bmkuu%2Bkamanda%2Bras%2BMakunja%2B%252Ckatika%2BJessica%2BOuyah%2Bna%2BSarah%2BFina.jpg)
Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katika onyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani. Bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa. Inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-tm5SmR5WAD0/Ve3q_IjcL9I/AAAAAAAD6qE/R3VCbVKM-So/s72-c/baadhi%2Bya%2Bwaimbaji%2Bwa%2BFFU%2Bpembeni%2Bmkuu%2Bkamanda%2Bras%2BMakunja%2B%252Ckatika%2BJessica%2BOuyah%2Bna%2BSarah%2BFina.jpg)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-tm5SmR5WAD0/Ve3q_IjcL9I/AAAAAAAD6qE/R3VCbVKM-So/s640/baadhi%2Bya%2Bwaimbaji%2Bwa%2BFFU%2Bpembeni%2Bmkuu%2Bkamanda%2Bras%2BMakunja%2B%252Ckatika%2BJessica%2BOuyah%2Bna%2BSarah%2BFina.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6hmUzVygAfo/Ve3q9mdq65I/AAAAAAAD6pk/yYnD-jHfcto/s640/Gwaride%2Bla%2BNgoma%2BAfrica%2Bjukwaani%2Bnyara%2Bza%2Btaifa%2Bchini%2Bya%2Bulinzi%2Bwa%2Bmakamanda.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-urF2im2wU5U/U8Wfgb2TwpI/AAAAAAAF2ls/StuWspg6NNQ/s72-c/unnamed+(9).jpg)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA TUBINGEN, UJERUMANI MWISHO MWA WIKI HII !
![](http://1.bp.blogspot.com/-urF2im2wU5U/U8Wfgb2TwpI/AAAAAAAF2ls/StuWspg6NNQ/s1600/unnamed+(9).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jZMPJeS73hg/Vep82vVrXTI/AAAAAAAH2cs/NUiok-GjrFc/s72-c/unnamed%2B%252890%2529.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL, UJERUMANI, LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-jZMPJeS73hg/Vep82vVrXTI/AAAAAAAH2cs/NUiok-GjrFc/s640/unnamed%2B%252890%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-F4mnzVOGM0I/VgMtnqnGshI/AAAAAAAH6-w/CJRlZrwMnbI/s72-c/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
MKONO WA EID MUBARAK KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU UGHAIBUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-F4mnzVOGM0I/VgMtnqnGshI/AAAAAAAH6-w/CJRlZrwMnbI/s640/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
usikose kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EJwNVHJjSIc/VQfUVFgPOHI/AAAAAAAHK5k/xKCMfQSmJc0/s72-c/FFU-ughaibuni%2Bwakifanya%2Bvitu%2Bvyao%2BStuttgart%2CUjerumani.jpg)
Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni walipoliweka jiji la Stuttgart chini yao
Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zake
![](http://2.bp.blogspot.com/-EJwNVHJjSIc/VQfUVFgPOHI/AAAAAAAHK5k/xKCMfQSmJc0/s1600/FFU-ughaibuni%2Bwakifanya%2Bvitu%2Bvyao%2BStuttgart%2CUjerumani.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MjHu0X3ZgaI/VeQw3RO3B3I/AAAAAAAH1OA/2K8stGd2gHw/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2Bband%2B%25281%2529.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI JUMAMOSI 5 SEPT 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-MjHu0X3ZgaI/VeQw3RO3B3I/AAAAAAAH1OA/2K8stGd2gHw/s640/Ngoma%2BAfrica%2Bband%2B%25281%2529.jpg)
KWA P[ICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IQN7BH78xrA/VkDsCjKmFBI/AAAAAAAIFHI/NJzFF4DgSvY/s72-c/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU WAKIENDELEA KUDATISHA UGHAIBUNI WAFANYA KWELI JIJINI BREMEN
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YGKOwdLROJA/VWymI25YWqI/AAAAAAADpyg/2H_hpBjSe2A/s72-c/Kikosi%2Bkazi%2BNgoma%2BAfrica%2Bband%2Bwakiwajibika%2Bughaibuni.jpg)
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU WALIFUNIKA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YGKOwdLROJA/VWymI25YWqI/AAAAAAADpyg/2H_hpBjSe2A/s640/Kikosi%2Bkazi%2BNgoma%2BAfrica%2Bband%2Bwakiwajibika%2Bughaibuni.jpg)
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanazidi kudatisha ughaibuni !
Katika onyesho lao ndani ya hekalu la Uebersee Museum mjini Bremen,ujerumani usiku wa jumamosi 30 Mei 2015 bendi imeonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa inakubalika katika hadi katika mahekalu ya kutisha,Kikosi kazi hiko maarufu kwa muziki wa dansi barani ulaya
kinachoongozwa na mwanamuziki kamanda Ras Makunja,kikiwa
na wanamuziki waliojaa vipaji akiwemo yule mcharaza...