NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA TUBINGEN, UJERUMANI MWISHO MWA WIKI HII !
Tubingen,Ujerumani,Washabiki na wadau wa muziki nchini Ujerumani wanatarajia kujimwaga katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen 2014, Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17 Julai, 2014 hadi 20 Julai, 2014ambako bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band inatarajiwa kutumbuiza Usiku wa jumamosi katika maonyesho hayo.Bendi hiyo inayoongozwa na kamanda Ras Makunja, kama ujuavyo ni yenye mazoea ya kuwatia kiwewe washabiki kila wanapotumbuiza.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziFFU wa Ngoma Africa Band wawatia wazimu washabiki Tubingen,Ujerumani
Bendi hiyo iliyobatizwa majina mengi ya utani na washabiki wake imejikuta inaongeza idadi ya maelfu ya washabiki katika maonyesho yake.
Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa jumamosi 19 Julai 2014 Ngoma Africa...
9 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI
9 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI
9 years ago
MichuziMKONO WA EID MUBARAK KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU UGHAIBUNI
usikose kufungua sikio at www.reverbnation.com/ngomaafricaband
10 years ago
MichuziNgoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni walipoliweka jiji la Stuttgart chini yao
Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zakeKamanda Ras Makunja...
9 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND AKA FFU WAKIENDELEA KUDATISHA UGHAIBUNI WAFANYA KWELI JIJINI BREMEN
10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND AKA FFU WALIFUNIKA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI
Bremen,Ujerumani,
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanazidi kudatisha ughaibuni !
Katika onyesho lao ndani ya hekalu la Uebersee Museum mjini Bremen,ujerumani usiku wa jumamosi 30 Mei 2015 bendi imeonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa inakubalika katika hadi katika mahekalu ya kutisha,Kikosi kazi hiko maarufu kwa muziki wa dansi barani ulaya
kinachoongozwa na mwanamuziki kamanda Ras Makunja,kikiwa
na wanamuziki waliojaa vipaji akiwemo yule mcharaza...
9 years ago
VijimamboMKONO WA EID AL HAJJ KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU
11 years ago
MichuziCD mpya "Bongo Tambarare" ya Ngoma Africa Band aka FFU ndani ya Ethopia !