Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sugu: Meya ajaye atakuwa ‘moto’ Mbeya

Mbunge mteule wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amesema chama hicho kitahakikisha kinampata meya mpya mwenye uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo inayopangwa kila mwaka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya


Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu: Nimeituliza Mbeya

Mbeya. Jimbo la Uchaguzi Mbeya Mjini linafahamika kwa rekodi yake ya kipekee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya Jiji la Mbeya matatani

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini endapo Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, alihusika kwenye tuhuma zinazowakabili vijana wawili waliomtaja kuwa aliwatuma...

 

9 years ago

Mtanzania

Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya

NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

 

10 years ago

GPL

MAFUFU AMVAA SUGU MBEYA MJINI

Waandishi wetu
KUMEKUCHA! Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu ameibuka na kuwa msanii wa kwanza kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu. Akipiga stori na safu hii juzi jijini Dar, Mafufu alisema amefikia uamuzi huo baada ya kuombwa na wananchi wa jimbo hilo kwa vile mbunge wa sasa, Mheshimiwa Joseph Mbilinyi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwakibete Fc yatwaa Kombe la Meya Mbeya

Timu ya Mwakibete Fc imeibuka kidedea katika fainali ya ligi la Kombe la ‘Mbeya Peps Mayor 2013’ baada ya kuifunga Ilomba Fc kwa mikwaju ya penati 3-1uliochezwa juzi katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini hapa.

 

9 years ago

TheCitizen

Shitambala -Sugu race talking point in Mbeya

A total of five parties have fielded candidates for Mbeya Urban Parliamentary seat but centre of attention is on two parties. The retuning officer Mr Musa Zungiza, names the candidates and their parties as  Sambwee Shitambala (CCM), Joseph Mbilinyi aka Sugu or Mr II (Chadema),  Mary Komba (Chausta), Tumaini Mwanyalu (Chama cha Demokrasia Makini) and Lusekelo Asheli  (ACT- Wazalendo).

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu awalaumu polisi kurusha mabomu Mbeya

Mwandishi Wetu, Mwananchi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Meya Kapunga awakera mashabiki Mbeya City

KATIKA mazingira yasiyotarajiwa, Meya wa jiji la Mbeya, Athanus Kapunga, mwishoni mwa wiki alijikuta katika wakati mgumu akishindwa kuhutubia baada ya mashabiki wa soka kuanza kuzomea wakikerwa na hatua yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani