Shitambala -Sugu race talking point in Mbeya
A total of five parties have fielded candidates for Mbeya Urban Parliamentary seat but centre of attention is on two parties. The retuning officer Mr Musa Zungiza, names the candidates and their parties as Sambwee Shitambala (CCM), Joseph Mbilinyi aka Sugu or Mr II (Chadema), Mary Komba (Chausta), Tumaini Mwanyalu (Chama cha Demokrasia Makini) and Lusekelo Asheli (ACT- Wazalendo).
TheCitizen
Habari Zinazoendana
5 years ago
Nintendo Life08 Apr
Talking Point: We Should Brace For A Huge Games Industry Knock-On Effect Following The CERO Shutdown
9 years ago
MichuziMgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala ajinadi
9 years ago
MichuziSOPHIA SIMBA AMNADI MGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA MBEYA MJINI SAMBWEE SHITAMBALA.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-FlrZdkCbMvY/VZMLHklLQxI/AAAAAAAABTo/AOYt6gnlbuA/s72-c/Mapokezi%2BSugu.jpg)
MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya
Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Sugu: Nimeituliza Mbeya
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuDVMvu6rU873NlR8Hbvh7kh3ErPP5cc0dg2SxF3IxVi3rwUy2PzT2MwBk3kst7PFmHF5tkcmgaEzgS3aPK7yaQf/mafufu.jpg?width=650)
MAFUFU AMVAA SUGU MBEYA MJINI
11 years ago
Mwananchi08 Aug
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Sugu: Meya ajaye atakuwa ‘moto’ Mbeya