Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFUFU AMVAA SUGU MBEYA MJINI

Waandishi wetu
KUMEKUCHA! Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu ameibuka na kuwa msanii wa kwanza kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu. Akipiga stori na safu hii juzi jijini Dar, Mafufu alisema amefikia uamuzi huo baada ya kuombwa na wananchi wa jimbo hilo kwa vile mbunge wa sasa, Mheshimiwa Joseph Mbilinyi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sugu: Nimetekeleza ahadi zangu Mbeya Mjini kwa asilimia 90

Joto la Uchaguzi Mkuu limeanza kupanda. Wanasiasa waliopo madarakani wanazidi kujiimarisha kuendelea kuongoza huku walioo nje wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali kutaka kuingia.

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya


Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA BAVICHA AMVAA MCHUNGAJI MSIGWA UBUNGE IRINGA MJINI

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Leonce Marto amechukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Iringa kupitia chama chake hicho.Amechukua fomu hiyo siku moja tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia  bunge la 10 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo uhai wake utakoma Agosti 20, mwaka huu.Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, jimbo la Iringa Mjini limekuwa likiongozwa na Mchungaji Peter Msigwa ambaye pia alichaguliwa kupitia Chadema...

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu: Nimeituliza Mbeya

Mbeya. Jimbo la Uchaguzi Mbeya Mjini linafahamika kwa rekodi yake ya kipekee.

 

9 years ago

Mtanzania

Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya

NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

 

9 years ago

Michuzi

MBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA

Kocha wa Timu ya Mbeya City fc a.k.a Wakoma Kumwanya ndugu, Juma Mwambusi akizungumza jambo na baadhi ya Vyombo vya Habari mara baada ya Mtanange huo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kumalizika katika Uwanja wa kumbukumbu Sokoine Jijini Mbeya, Ambapo Mbeya City FC  waliibuka kidedea kwa kuichalaza Jkt Ruvu goli 3-0, ambapo Dakika ya 23 mchezaji Joseph Mahundi kuipatia Mbeya City Goli la Kwanza na Goli la Pili toka kwa Temy Felix Dakika ya 57 kwa mkwaju wa Penati, huku Goli la Tatu...

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu awalaumu polisi kurusha mabomu Mbeya

Mwandishi Wetu, Mwananchi

 

9 years ago

TheCitizen

Shitambala -Sugu race talking point in Mbeya

A total of five parties have fielded candidates for Mbeya Urban Parliamentary seat but centre of attention is on two parties. The retuning officer Mr Musa Zungiza, names the candidates and their parties as  Sambwee Shitambala (CCM), Joseph Mbilinyi aka Sugu or Mr II (Chadema),  Mary Komba (Chausta), Tumaini Mwanyalu (Chama cha Demokrasia Makini) and Lusekelo Asheli  (ACT- Wazalendo).

 

9 years ago

Mwananchi

Sugu: Meya ajaye atakuwa ‘moto’ Mbeya

Mbunge mteule wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amesema chama hicho kitahakikisha kinampata meya mpya mwenye uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo inayopangwa kila mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani