Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sugu: Nimetekeleza ahadi zangu Mbeya Mjini kwa asilimia 90

Joto la Uchaguzi Mkuu limeanza kupanda. Wanasiasa waliopo madarakani wanazidi kujiimarisha kuendelea kuongoza huku walioo nje wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali kutaka kuingia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Khatib: Nimetekeleza Ilani kwa asilimia 90

MBUNGE wa Jimbo la Uzini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Mohamed Seif Khatib amesema amefanikiwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya chama chake katika miradi ya kuleta maendeleo katika kipindi cha miaka 19 ya uongozi wake kwa asilimia 90.

 

10 years ago

GPL

MAFUFU AMVAA SUGU MBEYA MJINI

Waandishi wetu
KUMEKUCHA! Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu ameibuka na kuwa msanii wa kwanza kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu. Akipiga stori na safu hii juzi jijini Dar, Mafufu alisema amefikia uamuzi huo baada ya kuombwa na wananchi wa jimbo hilo kwa vile mbunge wa sasa, Mheshimiwa Joseph Mbilinyi...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete: Nimetimiza ahadi kwa asilimia 80

Rais Jakaya Kikwete amesema zaidi ya asilimia 80 ya ahadi alizotoa wakati anaingia madarakani zimetimizwa na zilizobakia atazimaliza kabla ya kuondoka madarakani.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tibaijuka: Nimejipanga kutimiza ahadi zangu


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa  Anna Tibaijuka, amesema mikakati aliyojiwekea kwa sasa ni kutimiza ahadi alizowapa wapigakura na kutekeleza Ilani ya Uchanguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Aliyasema hayo kwenye ziara ya Rais Jakaya Kikwete mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambako walipokewa kwa shangwe na kundi la wananchi kutokana na kufanikiwa kutatua kero nyingi za ardhi zilizokuwa katika maeneo yao.
Utatuzi huo ulihusisha pia kumnyang’anya ardhi mwekezaji...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mtanzania

Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya

NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya


Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu: Samuel Sitta alisaliti ahadi yake

Ikiwa ni takriban majuma mawili sasa tangu Bunge la Maalumu la Katiba likamilishe kazi ya kuandika Katiba Inayopendekezwa, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema anajuta kumchagua Samuel Sitta kuwa mwenyekiti wa chombo hicho, akidai kuwa amesaliti ahadi yake kwa wapinzani wakati akiomba kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani