Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sugu: Nimeituliza Mbeya

Mbeya. Jimbo la Uchaguzi Mbeya Mjini linafahamika kwa rekodi yake ya kipekee.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBEYA KULINDIMA: Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" kupata "Home coming" ya kifalme Mbeya


Mh. Joseph Mbilinyi ameandaliwa mapokezi ya kifalme jijini Mbeya pindi atakapo kuwa anarudi kutoka Bungeni. Baada ya kuwatumikia wakazi wa Mbeya na Tanzania kwa miaka mitano, Mh. Sugu na wanaMbeya wanasema "DAIMA MBELE, MBEYA TUNASONGA.
Mapokezi haya ya kihistoria kuwahi kutokea Tanzania yatakuwa July 12, 2015 saa Saba mchana. Msafara wa mapokezi utaanzia Itewe hadi kuishia viwanja vya Ruanda Nzovwe. Mh. Mbilinyi anatarajiwa kuongozana na viongozi mbalimbali wa kiaifa.
Kwenye mkutano wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Sugu ashambuliwa kwa mawe Mbeya

NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi, maarufu kwa jina la DJ BBG, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

 

10 years ago

GPL

MAFUFU AMVAA SUGU MBEYA MJINI

Waandishi wetu
KUMEKUCHA! Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu ameibuka na kuwa msanii wa kwanza kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nyota wa sinema za Kibongo, Jimmy Mafufu. Akipiga stori na safu hii juzi jijini Dar, Mafufu alisema amefikia uamuzi huo baada ya kuombwa na wananchi wa jimbo hilo kwa vile mbunge wa sasa, Mheshimiwa Joseph Mbilinyi...

 

9 years ago

Mwananchi

Sugu: Meya ajaye atakuwa ‘moto’ Mbeya

Mbunge mteule wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amesema chama hicho kitahakikisha kinampata meya mpya mwenye uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo inayopangwa kila mwaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Sugu awalaumu polisi kurusha mabomu Mbeya

Mwandishi Wetu, Mwananchi

 

9 years ago

TheCitizen

Shitambala -Sugu race talking point in Mbeya

A total of five parties have fielded candidates for Mbeya Urban Parliamentary seat but centre of attention is on two parties. The retuning officer Mr Musa Zungiza, names the candidates and their parties as  Sambwee Shitambala (CCM), Joseph Mbilinyi aka Sugu or Mr II (Chadema),  Mary Komba (Chausta), Tumaini Mwanyalu (Chama cha Demokrasia Makini) and Lusekelo Asheli  (ACT- Wazalendo).

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu: Nimetekeleza ahadi zangu Mbeya Mjini kwa asilimia 90

Joto la Uchaguzi Mkuu limeanza kupanda. Wanasiasa waliopo madarakani wanazidi kujiimarisha kuendelea kuongoza huku walioo nje wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali kutaka kuingia.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LAKAMATA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI, WAKAMATA WAHARIFU SUGU

Mali zilizokamatwa.
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama ali inayopelekea kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu pamoja na ajali za barabarani. 
KUPATIKANA NA MALI ZIDHANIWAZO KUWA ZA WIZI. Jeshi la...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAFARA WA SUGU WASHAMBULIWA KWA MAWE AKIELEKEA KATIKA KAMPENI ZAKE ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA

Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM Sugu akiwa kituo cha Polisi na wafuasi wake.Picha Kenneth Ngelesi Mbeya . (JAMIIMOJABLOG MBEYA )
Na Emanuel Kahema ,Mbeya
MGOMBEA ubunge kupitia chadema jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na wafuasi wanaosadikiwa kuwa ni wa chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani