Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakibete Fc yatwaa Kombe la Meya Mbeya

Timu ya Mwakibete Fc imeibuka kidedea katika fainali ya ligi la Kombe la ‘Mbeya Peps Mayor 2013’ baada ya kuifunga Ilomba Fc kwa mikwaju ya penati 3-1uliochezwa juzi katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SEVILLA YATWAA KOMBE LA EUROPA

Carlos Bacca akiifungia Sevilla bao la tatu na la ushindi katika dakika ya 73 ya mchezo.Sevilla wakishangilia ubingwa wao baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Dnipropetrovsk.Washindi wa Kombe la Europa mara mbili mfululizo wakiwa katika pozi baada ya ushindi.

TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi ya Europa baada ya kuichapa Dnipropetrovsk ya Ukraine mabao 3-2.

Mabao ya Sevilla katika mechi hiyo iliyopigwa jana usiku mjini Warsaw nchini Poland yaliwekwa kimiani na Carlos...

 

10 years ago

GPL

SEVILLA YATWAA KOMBE LA EUROPA SEVILLA YATWAA KOMBE LA EUROPA

Sevilla wakishangilia ubingwa wao baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Dnipropetrovsk. Washindi wa Kombe la Europa mara mbili mfululizo wakiwa katika pozi baada ya ushindi.  Carlos Bacca akiifungia Sevilla bao la tatu na la ushindi…

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria yatwaa kombe la 7 la U20 Afrika

Nigeria imeweka rekodi barani Afrika baada ya kutwaa kombe lake la saba la vijana wasiozidi umri wa miaka 20.

 

10 years ago

Bongo5

Simba yatwaa kombe la Mapinduzi 2015

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba, usiku wa kuamkia leo waliibuka washindi katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi kwa kuwafunga Mtibwa Sukari kwa changamoto ya Mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulifanyika huko kisiwani Unguja. Simba walifanikiwa kupata panati nne na kukosa moja huku mtibwa wakipata penati tatu na kukosa mbili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sevilla yatwaa kombe ligi ya Europa

Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na kivumbi cha fainali ya Uefa ndogo, kwenye mtanange ulioikutanisha Sevilla ya Hispania dhidi ya Dnipropetrovsk ya Ukrain.

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

TP Mazembe yatwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika

MAZEMBE+PX

Mshambuliaji Mtanzania wa Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC, Thomas Ulimwengu (kushoto) na mchezaji mwenzake raia wa Ghana, Solomon Asante (kiungo wa kati) wakishangilia baada ya kufunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria.

Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015

Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015.

Na Rabbi Hume

Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC imetwaa kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria kwa goli mbili (2) kwa bila...

 

10 years ago

Mtanzania

Real Madrid yatwaa Kombe la Dunia la klabu

realRABAT, MOROCCO

TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Dunia la klabu, baada ya kuifunga San Lorenzo ya Argentina mabao 2-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Marrakesh, Morocco usiku wa kuamkia jana.

Ubingwa huo umeifanya Real Madrid kuwa na mwaka mzuri kihistoria kwani imechukua taji la nne mwaka huu, likiwemo hilo ambalo imelitwaa kwa mara ya kwanza.

Baadhi ya mataji mengine ambayo Madrid imefanikiwa kutwaa mwaka huu ni yale ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Mfalme (Copa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani