Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yatwaa kombe la Mapinduzi 2015

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba, usiku wa kuamkia leo waliibuka washindi katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi kwa kuwafunga Mtibwa Sukari kwa changamoto ya Mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulifanyika huko kisiwani Unguja. Simba walifanikiwa kupata panati nne na kukosa moja huku mtibwa wakipata penati tatu na kukosa mbili.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ivory Coast yatwaa kombe la AFCON 2015

Timu ya taifa ya Ivory Coast imenyakua kombe la mataifa ya Afrika, AFCON 2015 kwa kuitandika timu ya Ghana kwa mikwaju ya penalti mjini Bata, Equatorial Guinea. Ivory Coast imeshinda kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1992. Mlinda mlango nambari mbili wa Ivory Coast ndiye aliyeipa ushindi timu yake Ghana walipata penalti 8 […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Ivory Coast yatwaa ubingwa kombe la AFCON 2015 kwa kuichapa Ghana 9-8

0f746cc1-2dc6-49fb-a44f-c7adb6a14c7f-2060x1236

Ivory Coast v Ghana Photograph: Khaled Desouki/AFP/Getty Images

And Barry scores!!!!! IVORY COAST ARE 2015 AFRICA CUP OF NATIONS CHAMPIONS.

What an amazing way to finish it. They could not be separated after 90 minutes. They could not be separated after an additional 30. The regular five penalties could not separate them either and it went all the way to the goalkeepers in sudden death. Braimah had his saved by Barry, who then stepped up to score the deciding kick.

Congratulations to Ivory...

 

9 years ago

Habarileo

Simba wapania Kombe la Mapinduzi

TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba SC mabigwa wa kombe la mapinduzi

Timu ya Simba Sc imeibuka kidedea kwa kutwaa kombe la mapinduzi kwa mikwaju 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA WAREJEA DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

Golikipa chipukizi wa Timu ya Simba Sc,Manyika Peter ‘Manyika Jr’ (wa pili kushoto) wakiwakabidhi Kombe Mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutokea visiwani Zanzibar kwenye Mashindano ya Mapinduzi Cup,ambapo Simba waliibuka mabingwa.Mashabiki wa timu Simba SC wakishangilia ubingwa wao.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Na Bakari  Issa ,Globu ya Jamii Dar
Klabu ya Soka ya Simba leo hii imerejea jijini Dar es Salaam toka visiwani Zanzibar ambapo imeibuka kinara wa Kombe la...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA VETERANI YATWAA KOMBE LA PSPF BAADA YA KUINYUKA SIMBA VETERANI NA

Nahodha wa timu ya maveterani wa Yanga, Salvatory Edward, akipokea kombe kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, baada ya kuinyuka Simba Veterani kwa penati 5-4 kufuatia sare ya mabao 1-1 katika pambano la bonanza lililodhaminiwa na mfuko huo na kupigwa kwenye uwanja wa Bandari Tandika, wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo jioni Alhamisi Januari 1, 2015. Kufuatia ushindi huo Yanga veterani pia walijinyakulia kitita cha shilingi milioni 1, wakati watani wao...

 

10 years ago

CloudsFM

SIMBA SC WALIVYOTUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kiliwasili jijini Dar jana kikitokea Mjini Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani