Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA VETERANI YATWAA KOMBE LA PSPF BAADA YA KUINYUKA SIMBA VETERANI NA

Nahodha wa timu ya maveterani wa Yanga, Salvatory Edward, akipokea kombe kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, baada ya kuinyuka Simba Veterani kwa penati 5-4 kufuatia sare ya mabao 1-1 katika pambano la bonanza lililodhaminiwa na mfuko huo na kupigwa kwenye uwanja wa Bandari Tandika, wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo jioni Alhamisi Januari 1, 2015. Kufuatia ushindi huo Yanga veterani pia walijinyakulia kitita cha shilingi milioni 1, wakati watani wao...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MOSHI VETERANI YAWACHAKAZA BOKO VETERANI

Nahodha wa Moshi Veterani, Jafari Kiango (kushoto), akimkabidhi mchezaji wa timu ya Boko, Godfrey Malekano ‘Messi’, zawadi ya Mchezaji Bora wa Mwezi kwa niaba ya Zizzou Fashion, muda mfupi baada kumalizika kwa mchezo huo. Kikosi cha timu ya Boko Beach Veterani kikiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya mchezo huo kuanza. TIMU ya wakongwe ya Moshi Veterani wikiendi iliyopita iliitembezea kichapo dhidi ya Boko...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAPELEKA VETERANI TANGA

Mshambuliaji wa timu ya Kombaini ya Tanga, Kassim Jumaa (kushoto), akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Survey veterani, Ahmad Rasuli (katikati), wakati wa mchezo maalum wa kusherehekea Sikukuu ya Wakulima Nanenane uliofanyika kwenye viwanja vya Disuza mjini Tanga. Mchezo huo ulidhaminiwa na NSSF. Kulia ni Amir Athuman wa Kombaini ya Tanga.

Na Elizabeth Kilindi, TangaTimu ya Survey Veterani ya jijini Dar es salamu imeifunga timu ya Kombaini vijana  Veterani ya Jiji la Tanga 2-1 katika...

 

9 years ago

Michuzi

EFM VS BOKO BEACH VETERANI

Timu kabambe ya soka ya E-FM imeufunga mwaka kimichezo kwa kipute cha dakika 90 za mpira wa miguu dhidi ya maveterani wa Boko Beach katika uwanja wa Boko Beach jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. E-fm ilifanikiwa kutawala mchezo katika kipindi cha kwanza na kuweza kuzitandika nyavu za Boko Beach Veterani mara mbili. Kasi ya mchezo ilibadilika katika kipindi cha pili baada ya E-FM kuandika bao lake la tatu kupitia nyota wake John Makundi. Bao  hilo liliamsha kikosi cha Boko Beach Veterani...

 

9 years ago

Michuzi

EFM 93.7 NA TABATA VETERANI WASHINDWA KUTAMBIANA

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya kikosi kamili cha Timu ya EFM 93.7 dhidi ya Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana, katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Tabata jijini Dar es salaam. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu.Kikosi cha kazi cha EFM 93.7 chini ya kiongozi na nahodha wake Ssebo (wa pili kushoto waliosimama) kikiwa...

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

10 years ago

Bongo5

Simba yatwaa kombe la Mapinduzi 2015

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba, usiku wa kuamkia leo waliibuka washindi katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi kwa kuwafunga Mtibwa Sukari kwa changamoto ya Mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulifanyika huko kisiwani Unguja. Simba walifanikiwa kupata panati nne na kukosa moja huku mtibwa wakipata penati tatu na kukosa mbili.

 

9 years ago

Michuzi

Kivule Veterani yaibuka kidedea mbele ya EFM

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani iliyochezwa wikiendi hii huko Ukonga, Dar es salam, ilimalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili wakati  Efm wakiliona lango lao mara moja kupelekea matokeo kuwa 2 – 1, na ushindi kwenda Kivule Veterani  ambao waliutumia vyema  uwanja wao wa nyumbani Watangazaji wa vipindi vya Sports Headquarters na E Sports, Soud Mkumba na Oscar Oscar wakizungumza na mashabiki kabla ya kushuka dimbani.Picha...

 

11 years ago

Michuzi

KITAMBI NOMA ILIPOONYESHANA KAZI NA USHIRIKA VETERANI

Kikosi cha timu ya Ushirika Veterani. Kikosi cha timu ya Maveterani wa timu ya Kitambi noma ya jijini Arusha

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

MOSHI VETERANI WAMKUMBUKA MUASISI WAO MADESHO MOYE

Marehemu Madesho Moye wa pili kutoka kulia (waliopiga magoti)akiwa na kikosi cha timu ya soka ya Moshi veterani ya mkoani Kilimanjaro kilipofanya ziara nchini Kenya April Mwaka huu katika mashindano ya kombe la Pasaka ambalo timu hiyo ilifanikiwa kunyakua.Marehemu Madesho Moye(wakati wa uhai wake) akiwa amebeba kombe baada ya kufanikiwa kushinda kikombe
hicho katika mashindano ya Pasaka ambayo huandaliwa kila mwaka na mamlaka  ya bandali ya nchini Kenya.Marehemu Madesho Moye(wakati wa uhai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani