Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivule Veterani yaibuka kidedea mbele ya EFM

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani iliyochezwa wikiendi hii huko Ukonga, Dar es salam, ilimalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili wakati  Efm wakiliona lango lao mara moja kupelekea matokeo kuwa 2 – 1, na ushindi kwenda Kivule Veterani  ambao waliutumia vyema  uwanja wao wa nyumbani Watangazaji wa vipindi vya Sports Headquarters na E Sports, Soud Mkumba na Oscar Oscar wakizungumza na mashabiki kabla ya kushuka dimbani.Picha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

EFM VS BOKO BEACH VETERANI

Timu kabambe ya soka ya E-FM imeufunga mwaka kimichezo kwa kipute cha dakika 90 za mpira wa miguu dhidi ya maveterani wa Boko Beach katika uwanja wa Boko Beach jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. E-fm ilifanikiwa kutawala mchezo katika kipindi cha kwanza na kuweza kuzitandika nyavu za Boko Beach Veterani mara mbili. Kasi ya mchezo ilibadilika katika kipindi cha pili baada ya E-FM kuandika bao lake la tatu kupitia nyota wake John Makundi. Bao  hilo liliamsha kikosi cha Boko Beach Veterani...

 

9 years ago

Michuzi

EFM 93.7 NA TABATA VETERANI WASHINDWA KUTAMBIANA

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya kikosi kamili cha Timu ya EFM 93.7 dhidi ya Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana, katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Tabata jijini Dar es salaam. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu.Kikosi cha kazi cha EFM 93.7 chini ya kiongozi na nahodha wake Ssebo (wa pili kushoto waliosimama) kikiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaibuka kidedea

Didier Drogba ameweza kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Shrewsbury.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Ulanga

Chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Ulanga baada ya mgombea wake, Goodluck Mlinga kupata kura 25,902 sawa na asilimia 69.78 akiwashinda wapinzani wake katika uchaguzi uliofanyika jana wilayani Ulanga mkoa wa Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Kiembesamaki

>Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemtangaza Mahmoud Thabit Kombo (CCM), kuwa mshindi wa uwakilishi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika jana mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM YAIBUKA KIDEDEA JIJINI MWANZA


Stanslaus Mabula akiongea na wanahabari baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)
Na George Binagi-GB PazzoMgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza ameibuka mshindi wa kiti cha Ubunge katika jimbo hilo kwa kupata kura 81,017 na hivyo kumbwaga aliekuwa mbunge wa jimbo hilo Ezekiel Wenje kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema aliepata kura 79,280.Matokeo hayo yalitangazwa na Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimboni humo ambae pia ni Kaimu...

 

9 years ago

GPL

KAMPUNI YA MBONGO YAIBUKA KIDEDEA MAREKANI

Dickson Mkama. KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter. Tuzo aliyoshinda Mkama. Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31,...

 

11 years ago

Michuzi

TPDC yaibuka kidedea kwenye maonesho ya Sabasaba

Greyson Mwase na Malik Munisi
Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limeibuka kidedea na kukabidhiwa kikombe cha ushindi katika kundi la mashirika ya petroli na mafuta nchini baada ya kuyabwaga chini mashirika megine mengi yaliyokuwa yanawania kikombe hicho katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Kikombe hicho kilikabidhiwa na mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani