Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA MBONGO YAIBUKA KIDEDEA MAREKANI

Dickson Mkama. KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter. Tuzo aliyoshinda Mkama. Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Filamu ya Tanzania ‘Dogo Masai’ yaibuka kidedea tuzo za Marekani

1388978_981417838583880_2039616900_n

Wakati ambapo kiwanda cha filamu Tanzania kinaendelea kudoda, kuna habari njema kutoka wa filamu ya ‘Dogo Masai.’ Filamu hiyo ya Kitanzania imeshinda tuzo tatu.

1388978_981417838583880_2039616900_n

Hii ni taarifa zaidi:

Ninaitwa Timoth Conrad Kachumia Director, Producer na Writer wa filamu Tanzania. Ninayofuraha kuwajulisha watanzania kuwa nimefanikiwa kushinda California Viewers Choice Awards 2015, tuzo 2 ikiwa ni Best Feature Film pamoja na Best Director kupitia filamu ya DOGO MASAI, vile vile kutoka katika filamu hiyo hiyo...

 

11 years ago

GPL

MBONGO ALIYEBAKWA HADI KUFA CHINA... MAZITO YAIBUKA!

Stori: Shakoor Jongo na Gabriel Ng’osha
KATIKA Gazeti la Ijumaa Wikienda la juzi Jumatatu, Toleo Namba 354 ukurasa wake wa mbele kuna habari yenye kichwa kisemacho; MBONGO ABAKWA CHINA, AFA! Sabrina enzi za uhai wake. Katika habari hiyo, kulisindikizwa na vichwa vidogo vilivyosomeka; Wabakaji ni Wanigeria watano, maiti yake yakutwa haina figo, moyo!
Habari hiyo ilimhusu Mtanzania aliyejulikana kwa… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaibuka kidedea

Didier Drogba ameweza kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Shrewsbury.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Kiembesamaki

>Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemtangaza Mahmoud Thabit Kombo (CCM), kuwa mshindi wa uwakilishi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika jana mjini Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Ulanga

Chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Ulanga baada ya mgombea wake, Goodluck Mlinga kupata kura 25,902 sawa na asilimia 69.78 akiwashinda wapinzani wake katika uchaguzi uliofanyika jana wilayani Ulanga mkoa wa Morogoro.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM YAIBUKA KIDEDEA JIJINI MWANZA


Stanslaus Mabula akiongea na wanahabari baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM)
Na George Binagi-GB PazzoMgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza ameibuka mshindi wa kiti cha Ubunge katika jimbo hilo kwa kupata kura 81,017 na hivyo kumbwaga aliekuwa mbunge wa jimbo hilo Ezekiel Wenje kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema aliepata kura 79,280.Matokeo hayo yalitangazwa na Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimboni humo ambae pia ni Kaimu...

 

11 years ago

Michuzi

TPDC yaibuka kidedea kwenye maonesho ya Sabasaba

Greyson Mwase na Malik Munisi
Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limeibuka kidedea na kukabidhiwa kikombe cha ushindi katika kundi la mashirika ya petroli na mafuta nchini baada ya kuyabwaga chini mashirika megine mengi yaliyokuwa yanawania kikombe hicho katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Kikombe hicho kilikabidhiwa na mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magazeti ya Mwananchi yaibuka tena kidedea uchaguzi

Kwa mara ya tano mfululizo, magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameibuka kinara wa kuandika habari za uchaguzi bila upendeleo kwa vyama vya siasa wala wagombea tangu kuanza kwa kampeni zilizodumu kwa siku 64.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani