Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBONGO ALIYEBAKWA HADI KUFA CHINA... MAZITO YAIBUKA!

Stori: Shakoor Jongo na Gabriel Ng’osha
KATIKA Gazeti la Ijumaa Wikienda la juzi Jumatatu, Toleo Namba 354 ukurasa wake wa mbele kuna habari yenye kichwa kisemacho; MBONGO ABAKWA CHINA, AFA! Sabrina enzi za uhai wake. Katika habari hiyo, kulisindikizwa na vichwa vidogo vilivyosomeka; Wabakaji ni Wanigeria watano, maiti yake yakutwa haina figo, moyo!
Habari hiyo ilimhusu Mtanzania aliyejulikana kwa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

44 waliteketea hadi kufa Tianjin China

Vyombo vya habari China vinasema watu arobaini wamefariki kutokana na milipuko mikubwa katika kiwanda huko Tianjin China

 

9 years ago

BBCSwahili

104 waliteketea hadi kufa Tianjin China

Vyombo vya habari China vinasema watu arobaini wamefariki kutokana na milipuko mikubwa katika kiwanda huko Tianjin China

 

9 years ago

GPL

KAMPUNI YA MBONGO YAIBUKA KIDEDEA MAREKANI

Dickson Mkama. KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter. Tuzo aliyoshinda Mkama. Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31,...

 

11 years ago

GPL

MAZITO YAIBUKA

Na Mwandishi Wetu
KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya bado haujazikwa huku mazito yakiibuka kuhusiana na msiba huo! Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41)...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazito ya Chenge yaibuka

Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge ameibuliwa tuhuma nzito kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kudaiwa kuwa aliishawishi kampuni ya Independent Power Solution Limited (IPTL) kuingia mkataba na Tanesco na baadaye kuwa mshauri wa kampuni hiyo binafsi iliyomuingizia Sh1.6 bilioni zinazohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu



 Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA  wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
 Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA JIDE, GARDNER MAZITO YAIBUKA

Stori: WAANDISHI WETU Jambo limezua jambo! Nyuma ya habari ya madai ya kuvunjika kwa ndoa ya Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ na Mtangazaji wa Radio Times FM, Gardner G Habash, kuna mambo mazito yameibuka, mara baada ya habari hiyo kuripotiwa na gazeti pacha la hili, Ijumaa la wiki iliyopita. Uzio wa nyumba ya Staa, ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’Gardner G...

 

11 years ago

GPL

MAZITO YAIBUKA KIFO CHA KIGOGO CCM

Na Mashaka Baltazar, Mwanza
MAMBO mazito yameibuka baada ya kifo cha kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Diwani wa Kata  ya Kisesa, Clement Mabina jijini Mwanza  kwa mwanasiasa mmoja kutajwa kuhusika na mauaji hayo, Risasi Mchanganyiko limeambiwa. Clement Mabina enzi za uhai wake. Habari zilizosambaa jijini hapa zinadai kwamba  mwanasiasa huyo (jina kapuni) andaiwa kuwagawia fedha baadhi ya wanakijiji waliohusika...

 

10 years ago

GPL

MTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA

Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack  ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye. Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake. Awali ilibainika kuwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani