MAZITO YAIBUKA
![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZus7nbVpWaK5kqLrdFwyXSkq0HPQsZ9yO4bCh8BNRsDfOLcuvFuQY*xs92QFF6COI3Lr--z9QkPflo8pYfluS-vW/Cralence.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya bado haujazikwa huku mazito yakiibuka kuhusiana na msiba huo! Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41)...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Mazito ya Chenge yaibuka
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu
Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7koZbp-RWfoF8nAj89c17pYm*aYlXYbw6Cinexxnw2dv4eeRycLi2aVB57GlECkACjAtj9EfCJQtJSOkYGCuT4N/JIDE.jpg)
NDOA YA JIDE, GARDNER MAZITO YAIBUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDOZnkcZ8APgmjwCZZQIqFO1asZZwmf7Fe58fKgl*zvDt75weKTwZTJSnCAsPaI07HhdovvC7xWr9XNUgH6nwL84/mwanza.jpg?width=650)
MAZITO YAIBUKA KIFO CHA KIGOGO CCM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycPtM5gG1ygTPqS6orxMNSSs-wOM*sC9FtneurWO8o0MxgCZBW0JeIJB7rVOw3QGQ3EpjqLNLLNmIFZu*b2TWjgH/MAZITO.gif?width=650)
MTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2ppY0ZK4Sr*rGcq0gC8O95aNasze4ZzfzD4TzISwARdaC7ydIu8JTdpZRSWMHIzL5GgfFfp0Yhq8wmMtSuVGdR*y/china.jpg?width=650)
MBONGO ALIYEBAKWA HADI KUFA CHINA... MAZITO YAIBUKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k44TxNBni6gD46YwTwFgXgOyyvK5KGUfuv40crmSf6Veumc-w*8wPtrPQaIJktRy9epghOghYdOxEks3lVg1N1W/FRONTAMANI.jpg?width=650)
MAZITO 10 YAIBUKA: VIUNGO VYA BINADAMU KUNASWA DAR!
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli, mazito yaibuka
Chacha Makenge.
NA MWANDISHI WETU, Uwazi
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk. John Magufuli na wiki iliyopita kudai amelazwa chini, Chacha Makenge, amesababisha mapya kuibuka.
Wakizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, maofisa uhusiano wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi), Frank Matua na Patrick Mvungi kwa nyakati tofauti, walisema kuwa, mgonjwa huyo hakuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s1600/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)